peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 16,029
- 26,231
Samia alichukua lini fomu ya kugombea Urais kupitia CCM?
😁😁😁Aisee unajua nimefurahi Samia kaumiza sana Chadema akitegemea atapata unafuu kimemlambaMakalla amechanganyikiwa, hajui ashike lipi na aache lipi.
Mambo yanadaiwa yameshaparanyika huko ndani ya CCM, Makalla kaambiwa wewe ni mtu mzima tena mwenye CPA sasa nenda kaseme chochote kilichopo kichwani ili kutuliza mambo.
Kimemlamba *****😁Samia alichukua lini fomu ya kugombea Urais kupitia CCM?
JK ndiye mhuni mwandamiziKataa wahuni, wahuni waliweka wagombea wao kihuni.
Nchimbi aachie ngazi kivipi? Huitaji kuwa na akiri lazima CCM imfyeke SamiaWiki ijayo Nchimbi naye ataachia ngazi...... Ndiyo maana Maza naye ameenda znz kutuliza Akili
Chama kinaongozwa na Jezebel aka jini ShumiletaHakuna mtu msafi kabisa mwenye Roho wa Mungu anayeweza kuwa kwenye hii CCM ya sasa, ya akina makala, iliyojaa watu wenye roho ya shetani, CCM ya kuteka na kuua watu, CCM ya kudhulumu haki mbalimbali za binadamu.
CCM ya sasa ni alama ya uwepo wa shetani Duniani.
Ewe mtu mwema jitenge na Chama Cha Mashetani, ili ujitenge na la laana ya Muumba wetu.
Uwe Mungu wa haki, tunaomba mkono wako uwafikie wadhulumaji wa haki na wazao wao, waliojazana CCM.
Samia siyo mwana siasa. Alitoka kwao na makapu ya nazi na ng'onda hajui lolote kuhusu siasa za TanzaniaIlikuwa kumzunguka bi Mkubwa
Wahuni si watu
Atakufa lini tufanye sherehe?JK ndiye mhuni mwandamizi
Kimewalamba, Samia akifyekwa nikilio na kusaga meno kwaWahuni wamejichanganya
Tanzania kuna vituko kwa hiyo hii aibu ya mwaka unayosema itafanya uchaguzi usiwepo😀Nyie Mungu ni mwema sana.
Samia na genge lake walipanga mipango mingi sana ya kuiumiza Chadema.
Wakaanzisha migogoro kupitia msajiri na mahakama. Wakaanzisha chama shikizi Ili kuhadaa jamii ya kimataifa kuwa Chadema wamegawanyika.
Malipo ni hapa hapa duniani. Sasa kimewalamba, wamevurugana Hadi kuhailisha vikao😁.
Taarifa iliyotoka kwenye barua ni tofauti na alichokisema Amos Makalla.
Eti wamezidiwa na namba za wagombea.
Ninachofurahi Samia kimemkuta, tiyari Kuna mpasuko. Sasa kazi Kwa CCM
Mtuletee raisi wa viti maalumu au afekwe jina kuokoa reputation ya Chama.
Niko pale😁
View attachment 3411781View attachment 3411782
Mpaka muda huu hapitiSamia siyo mwana siasa. Alitoka kwao na makapu ya nazi na ng'onda hajui lolote kuhusu siasa za Tanzania
Cheo cha VP kiliwekwa kama zilivyowekwa nafasi 10 za wabunge zile za raisi. Kwamba ikitokea siku bunge ni 50% kwa 50% basi wale 10 watazidisha idadi ya ccm.
Vp amewekwa kwamba ikitokea ya magufuli huyu amalizie sasa kamaliza anachonga mzinga
Labda aliichukulia MsogaSamia alichukua lini fomu ya kugombea Urais kupitia CCM?
Nimesema hakuna uchaguzi?? Ng'ombe wa mamaTanzania kuna vituko kwa hiyo hii aibu ya mwaka unayosema itafanya uchaguzi usiwepo😀
Labda alichukulia bafuniLabda aliichukulia Msoga
Chawa anafanana hivi.We kibwengo ht uloge, uiombee dua mbaya CCM we ni sawa na kuku tu. Lipumbavu fukara km ww unahangaika na dude kubwa km CCM km siyo kichaa ni nini. We unaumwa!
Na iwe hivyoMpaka muda huu hapiti
Mifumo haisomaniNyie Mungu ni mwema sana.
Samia na genge lake walipanga mipango mingi sana ya kuiumiza Chadema.
Wakaanzisha migogoro kupitia msajiri na mahakama. Wakaanzisha chama shikizi Ili kuhadaa jamii ya kimataifa kuwa Chadema wamegawanyika.
Malipo ni hapa hapa duniani. Sasa kimewalamba, wamevurugana Hadi kuhailisha vikao😁.
Taarifa iliyotoka kwenye barua ni tofauti na alichokisema Amos Makalla.
Eti wamezidiwa na namba za wagombea.
Ninachofurahi Samia kimemkuta, tiyari Kuna mpasuko. Sasa kazi Kwa CCM
Mtuletee raisi wa viti maalumu au afekwe jina kuokoa reputation ya Chama.
Niko pale😁
View attachment 3411781View attachment 3411782
Ukishindwa kujibu hoja kwa hoja unashauriwa tu kupotezea post ili walau kuficha upum bavu wako.We kibwengo ht uloge, uiombee dua mbaya CCM we ni sawa na kuku tu. Lipumbavu fukara km ww unahangaika na dude kubwa km CCM km siyo kichaa ni nini. We unaumwa!