Mto wa mbu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 4,126
- 9,593
Nyie Mungu ni mwema sana.
Samia na genge lake walipanga mipango mingi sana ya kuiumiza Chadema.
Wakaanzisha migogoro kupitia msajiri na mahakama. Wakaanzisha chama shikizi Ili kuhadaa jamii ya kimataifa kuwa Chadema wamegawanyika.
Malipo ni hapa hapa duniani. Sasa kimewalamba, wamevurugana Hadi kuhailisha vikao😁.
Taarifa iliyotoka kwenye barua ni tofauti na alichokisema Amos Makalla.
Eti wamezidiwa na namba za wagombea.
Ninachofurahi Samia kimemkuta, tiyari Kuna mpasuko. Sasa kazi Kwa CCM
Mtuletee raisi wa viti maalumu au afekwe jina kuokoa reputation ya Chama.
Niko pale😁