Ni aibu..Nimetazama kwa makini hapa sijaona jezi ya Yanga

Utopolo ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿธ๐Ÿธ๐Ÿธ๐Ÿธ๐Ÿธ๐Ÿธ
 
Naomba tu mniruhusu kuurejesha ule mchakato wa kumjengea mwenyekiti wetu mstaafu; mnara wa kumbukumbu. Maana siyo kwa akili hizi.
 
Badala ya kuangalia ushindi uwanjani unaangalia matukio yasiyo na maana Kumbe safari bado ni ndefu .
 
Point yake ilikuwa ni wakongo wa Yanga ni magarasa kisa hawajaitwa timu ya taifa ya Congo, au umeishia tu kusoma kichwa cha habari? Namkumbusha tu Baleke, Inonga na Ngoma wote hao ni wa Congo na hawajaitwa sasa ishu ya magarasa mtajua nyie na umbumbu wenu.
Kanoute na Diarra wote ni raia wa Mali lakini Kanoute anacheza ndondo cup ya Mapinduzi wakati Diarra yupo na timu ya taifa. Mwasibu wa Rage fc mnatumia nini kufikiria kuanzisha nyuzi za kitoto?

Mwachibuuuuuu
Umepiga wapi? Bado anapumua huyoo
 
Back
Top Bottom