KILLANEKELI
JF-Expert Member
- Nov 26, 2013
- 295
- 123
Nachukizwa sana kitendo cha kijana wa kiume kujiita Team flani, utakuta jitu siku nzima linashinda kwenye social network likimsifia mwanaume mwenzie, mingine imefika hatua ya kujiita Team Wema mara team Kajala, Wenzako wanapiga kazi wewe utabaki kuwasifia.