Ni aibu kwa USA kutotambua Uislam katika sherehe za kuapishwa kwa Trump

Status
Not open for further replies.
Kwanini hakuna makafiri unamanisha nn?? Mie nasoma Oman nawapo wakristo watu wanchi za nje wanafanya kazi na wamepewa sehem malum ya makanisa sababu kufanya ibada zao. Lakini Hiyo nchi ya kislam 100% na katiba yake nawala hapewi uraiya asiyo muislam.
Je inaruhusiwa kuweka mkutano wa injili? Na kama sio unahisi kwa nini wanaogopa, hiyo dini inalindwa na wanadamu
 
Hebu tujadili kuhusu Gulf Region. Kwanini hakuna wakiristo?
Gulf Region hakuna wakristo? Sasa makanisa yaliyopo Qatar,Bahrain,Oman,UAE na kwingineko wanasali kina nani? Mbona unakua na akili ya kuropoka ropoka tu kwa mambo yaliyo nje ya uwezo wako?! Acha kujiandikia andikia hovyo hovyo tu,

Jambo kama hulijui au huna uhakika nalo ni bora ukawa unauliza kwanza kuliko kujiaibisha tu hapa.
 
Je inaruhusiwa kuweka mkutano wa injili? Na kama sio unahisi kwa nini wanaogopa, hiyo dini inalindwa na wanadamu
Mkuu umeongea jambo la msingi sana,fikiria uislam ungekuwa huru kufanya unachoamua kwa uhuru kama wakristu wangapi wangeshatumaliza badili dini,ni waoga mno ukibadili dini hasa nchi za kiislamu kichwa wanakata,huyu mungu gani anayetetewa kwa upanga na sio kwa upendo,,,fikiri uislam uchambuliwe kwa hoja kama u kristu, litasimama jiwe juu ya jiwe,,nani amwfanya exeges is and interpretation of quran halafu akaiacha on the level of opinion,,,,wao ukigusa quran mishipa inawasimama hawaachi quran ijitetee yenyewe kama Biblia
 
Wakristo watanzania Waislamu wamewakosea nini??? Mbona mnachuki sana na dini yao??? Ukizungumzwa Uislam tu humu utakuwa wakristo povu tuuu watukana wanauhusisha ugaidi na waarabu na Uislam. Nauliza tena Waislamu wamewakosea nini??? Kila mmoja na imani yake ..xhindochonde jamani huu udini ambao tangu tupate uhuru ulianza na chinichini lakini sasa hivi umekuwa ni wazi kabisa. Halafu tunajisifia eti watanzania tuna Umoja. UDINI UPO na wapo
 
USA wautambue wasiutambue Uislam. Haina maana haupo. Hawawatambui waafrika waliowafanya watumwa kwa zaidi ya miaka 300 waliwasafirisha na kuwaua kwa mamilioni unataka wautambue Uislam ili iweje??? Wenyewe hiyo dini wanayoitambua ipo ipo tu lakini hawaifuati wala kuiheshimu ni kama alama tu. Kama USA ni nchi ya kikiristo basi na ukiristo ndio uliwapa ruhusa waoane jinsia moja,mauaji wanayofanya duniani. Lakini bado sisi waafrika ambao tupo tupo tu duniani kusubiri kusaidiwa tuna njaa bado tunakwenda haja porini ustaarabu hatuujui. Tupo tupo tu kama manyani au tuliolaaaniwa.
 
Mkuu acha kuongea kwa assumption,unaweza kuweka ushahidi hapa wa mtu aliyeuawa kwa kuhama dini?

Unaweza kuweka hapa hiyo aya au bandiko la mtume linalosema mtu akihama dini auawe? Hebu twende kwa fact mkuu tuache hizi assumption kwa msukumo wa chuki tu.

Iran Saudia Sudan just an example ukibadilisha dini kutoka Uislam kwenda Ukristu unakula jambia = unauawa!!!! It's a shame.
 
Muongo mkubwa wewe, ushindwe na ulegee kwa jina la YESU KRISTO aliye hai.

Saudia ukihama dini wanatekeleza maandiko ya dini ya mtume kwa kukuua. Sasa nani atahama??

Ila kwenye mitandao utagundua uhalisia wao. Au wakienda nchi za Magharibi wao ndiyo wanaongoza kufanya madhambi ya kujirusha
Usishindwe wala usilegee,uwe mzima kwa Jina la Allah,ambaye ndiye aliyemuepusha Yesu wasimsulubu msalabani,akamuokoa.
Wewe ndio uko dunia nyingine kabisa,kwenye dunia ya kuombea kwa mapepo ya kulegeza na watu washindwe kwa jina la pepo uliyemtaja.Mbele ya Allah,hakuna kushindwa wala kulegea.
Yaonyesha huelewi kama Yesu alizaliwa na kukulia mashariki ya kati,na ndiko huko huko nchi za kiarabu ziliko,Yesu hakuwa mzungu ,Yesu alikuwa mmashariki ya kati.Wazungu ndio wamezidiwa kete na watu wa mashariki yavkati kwa kufuata dini ya watu wa mashariki ya kati.
Yesu aliishi mashariki ya ,ambako ndiko Yesu alikokuwako,kama kufuata ukristo,mashariki ya kati yote ingekuwa wakristo wasingepatikana wayahudi wala waislamu.Kaa ujiuulize na tafakari,uchukuwe hatua.
 
Si kueneza dini kwa Upanga na ku brain wash watu. Hivi unafikiri ukiruhusu akina TB Joshua waanzishe makanisa Saudi Arabia uislam utabaki kweli??

Aende Pastor Chris, TB Joshua na Uebert Angel pale Maka au Madina
 
Je inaruhusiwa kuweka mkutano wa injili? Na kama sio unahisi kwa nini wanaogopa, hiyo dini inalindwa na wanadamu
Wajuwa wakristo wengi akili zenu zimajuw Yesu mnafikiria Yesu alizaliwa Ulaya,na kukulia ulaya.Yesu alizaliwa mashariki ya kati,akaishi mashariki ya kati,na nchi za kiarabu ziko mashariki ya kati,kama ulishindwa Yesu kuwaingiza hawa waarabu pamoja na wayahudi alioishi nao katika ukristo(kama Yesu alikuwa mkristo),ambaye yeye Yesu ni watu waliozaliwa katika maeneo anaoendana na kila utamaduni,mpaka mavazi wanafanana,utaweza wewe ambaye hata kwa kitu kidogo hamuendani.
 
Nimeangalia sherehe ya kuapishwa kwa Rais wa 45 wa Marekani, Donald Trump lakini kilichonishangaza zaidi ni kuona madhehebu ya Kiislam yakitengwa katika sala ya kuliombea taifa na Rais Trump.

Madhehebu ya Kikristo na Kiyahudi yamepewa nafasi ya kutoa maombi lakini dhehebu la Kiislam halikupewa nafasi hiyo pamoja na takwimu kuonyesha Marekani ya sasa ina Waislam wengi.

Ni masikitiko sana kuona mpaka leo baadhi ya viongozi wa Marekani hawataki kukubali ukweli kuwa Marekani ya sasa ina waumini wengi sana wa madhehebu ya Kiislam.

Huu ni ubaguzi wa kidini ambayo unajenga chuki ndani na nje ya taifa la Marekani.

Ninajaribu kufikiria Waislam walioko Marekani wameguswa vipi na hili tukio ambalo kwa mtazamo wangu linatoa picha halisi kuhusu serikali ya Trump katika kushughulikia masuala ya Waislam na nchi za Kiislam.

Je, hii ni hatua ya kwanza katika kuufutilia mbali Uislam nchini Marekani?
Unaonekana unapenda u mimi
 
Kawaida tu mbona! Wamarekani ni wastaarabu sana. Umesema hawautambui uislamu lakini wameakaribisha waislamu na wamejenga misikiti kwa ajili ya ibada zao. Wàkati hapa Tanzania hasa Zanzibar wanachoma moyo makanisa na kudhuru wakristo. Nchi za kiislamu hawaruhusu hata uhuru wa wakristo kuabdu sembuse kujenga makanisa! Uislamu umejawa na hamasa ya chuki dhidi ya wakristo waziwazi tunawasikia mnapotoa mawaidha siku za Ijumaa.
We jamaa umeongea ukweli kupitiliza. Mimi muislam ila huwa nakereka na mawaidha ya Ijumaa. Badala ya kusisitiza tuache mambo machafu kazi kusema dini nyingine. Shule muhimu sana.
 
Je inaruhusiwa kuweka mkutano wa injili? Na kama sio unahisi kwa nini wanaogopa, hiyo dini inalindwa na wanadamu
Yesu kashindwa kuwabadilisha wayahudi,ndugu zake,kabila lake,aliyoishi nao miaka,utaweza wewe kuwabadilisha waarabu,nenda kawabadilishe wayahudi wawe wakristo.Mpaka Yesu anaondoka hawajamuamini na wala hawana hata mpango huo.Angalau hao waarabu Yesu wanamuamini kama ni mtume wa Mungu,kuliko hao wayahudi waliopo mashariki ya kati.Au wataka sema wayahudi pia wakiingia ukristo nao wauliwa.
 
Makanisa yapo kama vile misikiti iliopo Vatican
Kanisa au msikiti wanajenga waumini,ambao ni raia wa sehemu husika,ukiona mahali hakuna msikiti au kanisa ujuwe hapo hakuna waumini wa dini hiyo.Hata hapa Tanzania,Luna maeneo hayana misikiti ,kwa vile hakuna waislamu na yapo maeneo hayana kanisa kwa vile hakuna waumini.Hill sio jambo la ajabu.
 
Gulf Region hakuna wakristo? Sasa makanisa yaliyopo Qatar,Bahrain,Oman,UAE na kwingineko wanasali kina nani? Mbona unakua na akili ya kuropoka ropoka tu kwa mambo yaliyo nje ya uwezo wako?! Acha kujiandikia andikia hovyo hovyo tu,

Jambo kama hulijui au huna uhakika nalo ni bora ukawa unauliza kwanza kuliko kujiaibisha tu hapa.
Asante kwa kunielewesha. Vipi huwa wakiapisha kiongozi katika hizi hawa makafili wanaluhusiwa/kupewa nafasi kusoma neno?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom