Ni aibu kwa USA kutotambua Uislam katika sherehe za kuapishwa kwa Trump

Status
Not open for further replies.
Kama wameguswa watasema ila we mganga njaa ulikosa cha kufanya na kuona hilo nalo tatizo.
 
Kuquote tu hapa umeshajibu kwa sababu mie sikuuliza swali ambalo lilikuwa linasubiri ulijibu.

Wazungu kwao ukristo ni kama sehemu tu ya utamaduni na ndiyo maana wanaufanya watakavyo. chukua hiyo
Umeeleweka.Baki na imani yako.
 
Nchi za Uarabuni huwa zinatambua Ukristo kwenye Sherehe za Kuapishwa?
Kwani America imejitangaza ni taifa la kikristo au, kwa nini watambue dini ya kiyahudi Na kikristo, nchi za arabuni ni nchi zimejitangaza ni za kiislam, lete ushahidi america imejitangaza ni nchi ya dini gani
 
Insecurity ndio kinachokugharimu.... Mbona imani nyingine hazilalamiki. Tujifunze tolerance ya kiimani, hivi kutopata nafasi ya kuliombea taifa la marekani kunagharimu vip imani yako?. Ninaomba tuvumiliane kiimani ili tuwe kuishi kwa amani
 
Nafikiri waislam washukuru sana kuwa hawakuwemo kwenye kuapishwa kwa Donald .Alhamdulillah. .
Ni ukafiri kuhudhuria kiapo cha mwenye kuonyesha dalili zote za kuabudu shetani. Kama.umeona speech yake .ishara zote anaonyesha luminate. Devil worshiper.
 
Mtoa mada jinsi unvyouchukia ukristo hata Trump ndo anavyouchukia uislamu waziwazi,sasa je wewe ungekuwa unaapishwa kama Rais ungekubali kupigiwa maombi na wakristo?
 
Nimeangalia sherehe ya kuapishwa kwa Rais wa 45 wa Marekani, Donald Trump lakini kilichonishangaza zaidi ni kuona madhehebu ya Kiislam yakitengwa katika sala ya kuliombea taifa na Rais Trump.

Madhehebu ya Kikristo na Kiyahudi yamepewa nafasi ya kutoa maombi lakini dhehebu la Kiislam halikupewa nafasi hiyo pamoja na takwimu kuonyesha Marekani ya sasa ina Waislam wengi.

Ni masikitiko sana kuona mpaka leo baadhi ya viongozi wa Marekani hawataki kukubali ukweli kuwa Marekani ya sasa ina waumini wengi sana wa madhehebu ya Kiislam.

Huu ni ubaguzi wa kidini ambayo unajenga chuki ndani na nje ya taifa la Marekani.

Ninajaribu kufikiria Waislam walioko Marekani wameguswa vipi na hili tukio ambalo kwa mtazamo wangu linatoa picha halisi kuhusu serikali ya Trump katika kushughulikia masuala ya Waislam na nchi za Kiislam.

Je, hii ni hatua ya kwanza katika kuufutilia mbali Uislam nchini Marekani?
Link Imam delivers message to Trump at inaugural service - CNNPolitics.com
 
Uislam ni dini ngeni marekani, na Haya hawafiki asilimia 10%, kwanza kwenye taifa la marekani waasisi hawakuwafikiria ata kuwajua waislam, na uislamu siyo dini muhimu marekani.
B
 
Utadanganya wajinga wenzako kama wewe,Trumps ana vitenga uchumi vya mamilion ya U S dollar katika nchi za kiarabu.Vitega uchumi hivyo vinaingizia pesa hicho hizo za kiarabu na kuwa na ajira za kutosha.Na pia ana hisa katika makampuni kadhaa ya nchi za kiislamu.Udanganywa wewe mpumbavu usiyejijuwa.
Trump,ni mfanyabiashara na kwenye biashara mtu haangalii dini anaangalia faida.. Hata hao waarabu kwa jinsi wanavyowachukia wazungu wangekuwa hawaangali faida hapo wasingekubali awekeze kwenye nchi zao.. Na kingine trump angekuwa anawaogopa au hata tu kuwaheshimu hao waarabu asinge tangaza chuki yake dhidi ya waislamu waziwazi so hivo vitega uchumi huko uarabuni havimzuii yeye kuufuta uislam marekani kama akitaka!
 
Walishindwa wakomunisti kule urusi Kwa miaka 70 Aje aufute Trump Kwa miaka 4 ?? Hizo ni siasa tu wapate nafasi waibe
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom