Yawezekana unaongea some logics, ila ni vema pia, ila ukitaka kumsaidia mtu hasipate the same tatizo litakolokucost baadae tena inapaswa umuoneshe au kumjulisha njia ajitambue na ajikwamuePamoja na yote uliyoyaandika kuhusu uvivu wa watanzania nk. lakini bado hauwezi kuondoa Ukweli huu, Tanzania kuna njaa, na watanzania wengi wanataabika kwa njaa, na wengi wanaangamia.
Juhudi la haraka za makusudi zinahitajika kufanyika sasa ili kuwanusuru.
Serikali kamwe haipaswi kulikwepa jukumu hili. Tanzania ni mali ya watanzania wote.
Kama kuna Pesa za kununua ndege kadhaa ambazo zaidi ya Asilimia 99 ya watanzania hawata weza kuzipanda maishani mwao, kwanini kukosekane pesa za kununulilia chakula ili kuwanusuru mamilioni ya watanzania waliopo katika hatari ya kuangamia?
Inawezekana wewe unacho ndiyo maana unasema hivyo wewe si tofauti na yule mkuu wa wilaya aliyesema unasoma ili uajiriwe kwaninini ilihali yeye kaajiriwa si naye angeachia ajira Tanzania ni nchi yenye sehemu zenye ukame sana hivyo njaa haiwezi kukosekana Simiyu yenyewe mojawpo utalima zao gani mkuu kule la haraka likakubaliMie binafsi nakubaliana na kauli ya Mheshimiwa Rais Magufuli kuwa hapa nchini hakuna njaa. Tanzania ni moja wapo za nchi ambazo mwenyezi Mungu ameipa kila aina ya neema lakini watu wake hawataki kuitumia ipasavyo kwa sababu ya kutotaka kufanya kazi haswa za kilimo.
Leo nchi kama Misri yenye idadi ya watu karibu Milioni 100 wanaishi kwa kutegemea kilimo cha umwagiliaji kutoka mto Nile inakuwaje hapa Tanzania tuna maziwa na mito mengi mbali mbali na mvua kunyesha mara kwa mara tunashindwa kuwa na chakula na kusingizia njaa?
Sasa hivi tuna kiongozi asiyekuwa mnafiki anachowaambia watanzania ni ukweli mtupu na inatakiwa mkubaliane na ushauri wake kwamba kuna wafanyabiashara na wanasiasa wanajaribu kutengeneza hili suala la njaa kwa manufaa ya kujipatia umaarufu wa kisiasa na faida ya kibiashara.
Kwa iyo wananchi wakachukue maji mto nile wafanye kilimo cha umwagiliaji kama misri? Au umeongea nn hujaeleweka!Mie binafsi nakubaliana na kauli ya Mheshimiwa Rais Magufuli kuwa hapa nchini hakuna njaa. Tanzania ni moja wapo za nchi ambazo mwenyezi Mungu ameipa kila aina ya neema lakini watu wake hawataki kuitumia ipasavyo kwa sababu ya kutotaka kufanya kazi haswa za kilimo.
Leo nchi kama Misri yenye idadi ya watu karibu Milioni 100 wanaishi kwa kutegemea kilimo cha umwagiliaji kutoka mto Nile inakuwaje hapa Tanzania tuna maziwa na mito mengi mbali mbali na mvua kunyesha mara kwa mara tunashindwa kuwa na chakula na kusingizia njaa?
Sasa hivi tuna kiongozi asiyekuwa mnafiki anachowaambia watanzania ni ukweli mtupu na inatakiwa mkubaliane na ushauri wake kwamba kuna wafanyabiashara na wanasiasa wanajaribu kutengeneza hili suala la njaa kwa manufaa ya kujipatia umaarufu wa kisiasa na faida ya kibiashara.
Kilimo cha umwagiliaji ni lini kimewahi kuwa kipaumbele cha serikali za CCM?
Acha kujitoa akili.
Usichukie ukiambiwa wewe ni zezeta!Mie binafsi nakubaliana na kauli ya Mheshimiwa Rais Magufuli kuwa hapa nchini hakuna njaa. Tanzania ni moja wapo za nchi ambazo mwenyezi Mungu ameipa kila aina ya neema lakini watu wake hawataki kuitumia ipasavyo kwa sababu ya kutotaka kufanya kazi haswa za kilimo.
Leo nchi kama Misri yenye idadi ya watu karibu Milioni 100 wanaishi kwa kutegemea kilimo cha umwagiliaji kutoka mto Nile inakuwaje hapa Tanzania tuna maziwa na mito mengi mbali mbali na mvua kunyesha mara kwa mara tunashindwa kuwa na chakula na kusingizia njaa?
Sasa hivi tuna kiongozi asiyekuwa mnafiki anachowaambia watanzania ni ukweli mtupu na inatakiwa mkubaliane na ushauri wake kwamba kuna wafanyabiashara na wanasiasa wanajaribu kutengeneza hili suala la njaa kwa manufaa ya kujipatia umaarufu wa kisiasa na faida ya kibiashara.
Kalime mazao yanayostahimili ukame uone kama utakuwa na njaa. Naona Mr. Vya bule yuko akilini mwako. Pigs kazi acha kulalama serikali haitakuletea chakula by unbani kwako.Tanzania kuna njaa kweli kweli. Huo ndio ukweli. Bora tuseme ukweli ili tupone, kuliko kuficha aibu huku tukiangamia.
Achana na porojo za yule 'Mfalme' asiyependa kuusikia ukweli unaomuumbua.
Mpuuzi kweli wewe, kuna mtu huwa anakula nyumbani kwako?Serikali ya CCM inakuhusu nini? Fanya kazi ule, hakuna kubweteka zama hizi.
Kilimo cha umwagiliaji ni lini kimewahi kuwa kipaumbele cha serikali za CCM?
Acha kujitoa akili.
Huuu unafiki mtaacha lini,msisapoti jambo kumfurahisha mfalme kuweni wakweli jamani,unafki mwisho wake mbaya.Mie binafsi nakubaliana na kauli ya Mheshimiwa Rais Magufuli kuwa hapa nchini hakuna njaa. Tanzania ni moja wapo za nchi ambazo mwenyezi Mungu ameipa kila aina ya neema lakini watu wake hawataki kuitumia ipasavyo kwa sababu ya kutotaka kufanya kazi haswa za kilimo.
Leo nchi kama Misri yenye idadi ya watu karibu Milioni 100 wanaishi kwa kutegemea kilimo cha umwagiliaji kutoka mto Nile inakuwaje hapa Tanzania tuna maziwa na mito mengi mbali mbali na mvua kunyesha mara kwa mara tunashindwa kuwa na chakula na kusingizia njaa?
Sasa hivi tuna kiongozi asiyekuwa mnafiki anachowaambia watanzania ni ukweli mtupu na inatakiwa mkubaliane na ushauri wake kwamba kuna wafanyabiashara na wanasiasa wanajaribu kutengeneza hili suala la njaa kwa manufaa ya kujipatia umaarufu wa kisiasa na faida ya kibiashara.
Nchi kama misri walijua wako jangwani hivo walitengeneza miundo mbinu ya umwagiliaji ili waepuke balaa la kukosa chakulaMie binafsi nakubaliana na kauli ya Mheshimiwa Rais Magufuli kuwa hapa nchini hakuna njaa. Tanzania ni moja wapo za nchi ambazo mwenyezi Mungu ameipa kila aina ya neema lakini watu wake hawataki kuitumia ipasavyo kwa sababu ya kutotaka kufanya kazi haswa za kilimo.
Leo nchi kama Misri yenye idadi ya watu karibu Milioni 100 wanaishi kwa kutegemea kilimo cha umwagiliaji kutoka mto Nile inakuwaje hapa Tanzania tuna maziwa na mito mengi mbali mbali na mvua kunyesha mara kwa mara tunashindwa kuwa na chakula na kusingizia njaa?
Sasa hivi tuna kiongozi asiyekuwa mnafiki anachowaambia watanzania ni ukweli mtupu na inatakiwa mkubaliane na ushauri wake kwamba kuna wafanyabiashara na wanasiasa wanajaribu kutengeneza hili suala la njaa kwa manufaa ya kujipatia umaarufu wa kisiasa na faida ya kibiashara.
Acha kuwa box wewe,tembea Tanzania uone hali halisi sio unakuwa mpiga makofi Wa mfalmeHakuna suala la unafiki mmezoea kuwa na viongozi wanaotoa ahadi za uongo.
Hapa Kazi tu
Kwa kiwango gani unaifahamu hii nchi? Labda tuanzie hapo!Yawezekana unaongea some logics, ila ni vema pia, ila ukitaka kumsaidia mtu hasipate the same tatizo litakolokucost baadae tena inapaswa umuoneshe au kumjulisha njia ajitambue na ajikwamue
Tanzania imeishia DAR tu.Mie binafsi nakubaliana na kauli ya Mheshimiwa Rais Magufuli kuwa hapa nchini hakuna njaa. Tanzania ni moja wapo za nchi ambazo mwenyezi Mungu ameipa kila aina ya neema lakini watu wake hawataki kuitumia ipasavyo kwa sababu ya kutotaka kufanya kazi haswa za kilimo.
Leo nchi kama Misri yenye idadi ya watu karibu Milioni 100 wanaishi kwa kutegemea kilimo cha umwagiliaji kutoka mto Nile inakuwaje hapa Tanzania tuna maziwa na mito mengi mbali mbali na mvua kunyesha mara kwa mara tunashindwa kuwa na chakula na kusingizia njaa?
Sasa hivi tuna kiongozi asiyekuwa mnafiki anachowaambia watanzania ni ukweli mtupu na inatakiwa mkubaliane na ushauri wake kwamba kuna wafanyabiashara na wanasiasa wanajaribu kutengeneza hili suala la njaa kwa manufaa ya kujipatia umaarufu wa kisiasa na faida ya kibiashara.
Makosa ni ya mungu kukupa shibe.Hakuna suala la unafiki mmezoea kuwa na viongozi wanaotoa ahadi za uongo.
Hapa Kazi tu
Mkuu hawa wanaongea UPUUZI kwa kutumia nadharia za KIPUUZI! Hawaijui nchi ilivyo, kwakuwa hawana njaa, hawaielewi njaa! Ni ngumu!Kwa iyo wananchi wakachukue maji mto nile wafanye kilimo cha umwagiliaji kama misri? Au umeongea nn hujaeleweka!