mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 46,337
- 57,160
Kwani umeambiwa tanzania nzima INA njaa?Yakigawiwa yatatosha kwa watu 40millions kwa siku ngapi?
Think logically
Kwani umeambiwa tanzania nzima INA njaa?Yakigawiwa yatatosha kwa watu 40millions kwa siku ngapi?
Think logically
Mie binafsi nakubaliana na kauli ya Mheshimiwa Rais Magufuli kuwa hapa nchini hakuna njaa. Tanzania ni moja wapo za nchi ambazo mwenyezi Mungu ameipa kila aina ya neema lakini watu wake hawataki kuitumia ipasavyo kwa sababu ya kutotaka kufanya kazi haswa za kilimo.
Leo nchi kama Misri yenye idadi ya watu karibu Milioni 100 wanaishi kwa kutegemea kilimo cha umwagiliaji kutoka mto Nile inakuwaje hapa Tanzania tuna maziwa na mito mengi mbali mbali na mvua kunyesha mara kwa mara tunashindwa kuwa na chakula na kusingizia njaa?
Sasa hivi tuna kiongozi asiyekuwa mnafiki anachowaambia watanzania ni ukweli mtupu na inatakiwa mkubaliane na ushauri wake kwamba kuna wafanyabiashara na wanasiasa wanajaribu kutengeneza hili suala la njaa kwa manufaa ya kujipatia umaarufu wa kisiasa na faida ya kibiashara.
Kwani ununuzi wa ndege umefanya miundombinu isishughulikiwe? Miradi mingapi inaendelea hivi sasa wakati ndege zimenunuliwa? Ngoja nikutajie michacheAcha kufikiri tofauti na maumbile ya asili. Tumia ubongo kufikiri. Aliyewambia wananchi ni wavivu ni nani? Mbivu wewe unayewaza na kaamua kununua ndege badala ya kutengeneza miundombinu ya kilio cha umwagiliaji. Hao unao wait a wavivu wataweza je kuharisha irrigation programmes wakati pesa yote mmelala akina jag dish Singh? Mere meta? Green finance? Iptl nk nk? Fikiri kwa ubongo mpendwa. Hao waziri walikaa barazani wakapanga Siyo wewe unayetoa matamko majukwaani . Budget kwenye jukwaa? Nina uhakika hata hao walikuwa hayo mamlaka wanakushangaa sana na huenda wanajua sana
Hiyo ndo tanzania yenye neema?vipi ajira?maji,umeme,afya?unafuu wa maisha.mishahara bora.?Kwani ununuzi wa ndege umefanya miundombinu isishughulikiwe? Miradi mingapi inaendelea hivi sasa wakati ndege zimenunuliwa? Ngoja nikutajie michache
1.kinyerezi 2
2. Daraja la surrender
3.Tazara interchange
4. Mabweni (majengo 20 yenye ghorofa 4 kila moja) ya wanafunzi wa chuo kikuu.
5. Elimu bure inaendelea. Na miradi mingi mingine ya mabilions ukiachana na barabara ya b90 aliyozindua jana magufuli.
Kama ndege ni tatizo wakati hatuna ndege iliyonunuliwa miundo mbinu yetu ilikuwa imara?
Hayo yote yanaendelea kutatuliwa.Hiyo ndo tanzania yenye neema?vipi ajira?maji,umeme,afya?unafuu wa maisha.mishahara bora.?
Viongozi wa chama gani hao ambao Watanzania wamezoea kuwa nao wanaotoa ahadi za uongo???[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] .Hakuna suala la unafiki mmezoea kuwa na viongozi wanaotoa ahadi za uongo.
Hapa Kazi tu
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Hayo yote yanaendelea kutatuliwa.
Una ndotoHayo yote yanaendelea kutatuliwa.
Ninayo kwa sab kama hizo huduma zipo lkn hazijatosheleza mahitaji kwanini usiamini kwamba ipo siku zitatosheleza mahitaji?Una ndoto
We tulia hutasikia kuna kafa kwa njaa wala nini hapo ndo ujue hii nchi inaendeshwa kwa manufaa ya wafanyabiashara na wanasiasa.Kwani umeambiwa tanzania nzima INA njaa?
Si bure, umetumwaMie binafsi nakubaliana na kauli ya Mheshimiwa Rais Magufuli kuwa hapa nchini hakuna njaa. Tanzania ni moja wapo za nchi ambazo mwenyezi Mungu ameipa kila aina ya neema lakini watu wake hawataki kuitumia ipasavyo kwa sababu ya kutotaka kufanya kazi haswa za kilimo.
Leo nchi kama Misri yenye idadi ya watu karibu Milioni 100 wanaishi kwa kutegemea kilimo cha umwagiliaji kutoka mto Nile inakuwaje hapa Tanzania tuna maziwa na mito mengi mbali mbali na mvua kunyesha mara kwa mara tunashindwa kuwa na chakula na kusingizia njaa?
Sasa hivi tuna kiongozi asiyekuwa mnafiki anachowaambia watanzania ni ukweli mtupu na inatakiwa mkubaliane na ushauri wake kwamba kuna wafanyabiashara na wanasiasa wanajaribu kutengeneza hili suala la njaa kwa manufaa ya kujipatia umaarufu wa kisiasa na faida ya kibiashara.
Nina wasiwasi na uelewa wako katika kilimo ndugu yangu. Isitoshe nashangazwa sana na wanaomsifia Rais Magufuli katika suala la njaa.Mie binafsi nakubaliana na kauli ya Mheshimiwa Rais Magufuli kuwa hapa nchini hakuna njaa. Tanzania ni moja wapo za nchi ambazo mwenyezi Mungu ameipa kila aina ya neema lakini watu wake hawataki kuitumia ipasavyo kwa sababu ya kutotaka kufanya kazi haswa za kilimo.
Leo nchi kama Misri yenye idadi ya watu karibu Milioni 100 wanaishi kwa kutegemea kilimo cha umwagiliaji kutoka mto Nile inakuwaje hapa Tanzania tuna maziwa na mito mengi mbali mbali na mvua kunyesha mara kwa mara tunashindwa kuwa na chakula na kusingizia njaa?
Sasa hivi tuna kiongozi asiyekuwa mnafiki anachowaambia watanzania ni ukweli mtupu na inatakiwa mkubaliane na ushauri wake kwamba kuna wafanyabiashara na wanasiasa wanajaribu kutengeneza hili suala la njaa kwa manufaa ya kujipatia umaarufu wa kisiasa na faida ya kibiashara.
Wewe acha ujinga, kilimo cha umwagiliaji unachokisema unafikiri ni kuchota maji kwa ndo unyweshee shamba? Unafikiri mwananchi wa Kwimba anaweza kwenda kuchota maji Lake Victoria kwa kibuyu aje anyweshe shamba...msipende kutukwaza basi na Rais wenu mnatafuta laana za bure!Mie binafsi nakubaliana na kauli ya Mheshimiwa Rais Magufuli kuwa hapa nchini hakuna njaa. Tanzania ni moja wapo za nchi ambazo mwenyezi Mungu ameipa kila aina ya neema lakini watu wake hawataki kuitumia ipasavyo kwa sababu ya kutotaka kufanya kazi haswa za kilimo.
Leo nchi kama Misri yenye idadi ya watu karibu Milioni 100 wanaishi kwa kutegemea kilimo cha umwagiliaji kutoka mto Nile inakuwaje hapa Tanzania tuna maziwa na mito mengi mbali mbali na mvua kunyesha mara kwa mara tunashindwa kuwa na chakula na kusingizia njaa?
Sasa hivi tuna kiongozi asiyekuwa mnafiki anachowaambia watanzania ni ukweli mtupu na inatakiwa mkubaliane na ushauri wake kwamba kuna wafanyabiashara na wanasiasa wanajaribu kutengeneza hili suala la njaa kwa manufaa ya kujipatia umaarufu wa kisiasa na faida ya kibiashara.
Magufuli yeye anawaza ndege tu, huku mwoga wa kupanda ndege...na hana hoja tu, kwanini anafikiri ni lazima kununua ndege lakini hakuna lazima kununua chakula? huu ni ushamba na ndo matatizo ya kudesa PhDNina wasiwasi na uelewa wako katika kilimo ndugu yangu. Isitoshe nashangazwa sana na wanaomsifia Rais Magufuli katika suala la njaa.
Ni kweli Tanzania tuna vyanzo vingi vya Maji kuliko Misri au nchi zilizo jangwani. Lakini umeshajiuliza Tanzania inatumiaje hayo Maji? Wenzetu Misri wamewekeza kwenye kilimo cha umwagiliaji kwa zaidi ya 50%.
Sisi Tanzania pamoja na maji yote hayo tumewekeza kwenye umwagiliaji kwa 3% tu. Hapo unategemea nini? Kilimo chetu kinategemea kudra za Mwenyezi Mungu.
Kumbuka mwaka huu mvua za vuli zimegoma maeneo mengi na ndiko wanakolalamika njaa.
Hapo unawalaumu wafanyabiashara, wao ndio wamezuia mvua?
Kwa mwaka mmoja wa Rais Magufuli madarakani, uzalishaji wa kilimo umeshuka kutoka 2.7% hadi 0.3%, sasa hapo Chakula kinatoka wapi? Wananchi wakilalamika njaa wana kosa gani?
Mbaya zaidi Rais ameweka mazingira magumu ya kodi kwa wafanyabiashara wanaoingiza Chakula nchini akitaka walipe kodi. Sikatai kulipa kodi, lakini kwa kipindi hiki cha ukame wangelegeza masharti ili wananchi wapate Chakula kwa bei nafuu.
Kama Rais wetu ana nia ya dhati ya kukuza kilimo, awekeze kwenye umwagiliaji. Kama ameweza kununua ndege kwa pesa taslim, fedha hizo zinatosha kabisa kumaliza utata wa Chakula nchini.