Ni aibu gani umewahi mfichia mpenzi wako?

Hiii ya kunuka mdomo niwape mbinu, Mimi nilikuwa na mdada nzuriii shida mdomo unanuka hatari, siku nikiwa naye tukapita dukani, nikanunua dawa ya meno katoni, miswaki katoni
Akauliza mbona mingi? Nikamwambia tunagawana!! Napenda sana kupiga mswaki kila wakati, jaribu na wewe jizoeshe kupiga mswaki asubuhi mchana na jioni, mswaki ujitumika wiki 1 utupe chukua mwingine !!
Hiii ndio ikawa PONA PONA yangu yuko vizuri hadi kesho
 
Muswaki unatumia wiki unatupa wakati huku mtaani wanatumia mwaka mzima
 
Binti baada ya kumuomba kuja gheto alikuja na sijui kama alikua anajua mzunguko wake kama utatokea au alifanya makusudi, ile tumepiga michezo yetu , mtoto wa watu usingizi ukamchukua fofofo akiwa uchi wa mnyama mwamba nikamfunika kiaina mimi huyo na cheza cheza game .

Kilicho tokea pale ile kajigeuza tuu alikua anavuja mfano hakuna yupo usingizini na muamsha kumshtua ana bleed anazani labda na taka tena asee mashuka yangu yalichafuka sana na yeye mpaka mapaja kachafuka na hapo ped hana.

Ase mimi ikabidi ni mwonyeshe umwanaume kwanza japo sometime nakuaga mshenzi kwa mademu ila ilibidi niwe mwanaume kwa muda.

Nakumbuka aliniomba sana msamaha huku akitaka kuyafua mashuka nika mwambia hujanikosea cha kwanza nikamchemshia maji aoge, chapu nikachek mdada mmoja jirani tuna mazoea nae akaenda mletea ped

Nakumbuka mashuka yangu nilikua nayapenda sana na nilitandika cz mrembo anakuja ase chapu nili ya badili. Mwamba nilifua yale mashuka mwenyewe mbele yake japo aliniomba msamaha huku anatokwa na machozi sana nilichokua na mjibu hujanikosea

Ndio mara ya kwanza nimefua damu ya bleed ya mwanamke na niliona kawaida tuu
 
Back
Top Bottom