Makindi N
JF-Expert Member
- Mar 14, 2008
- 1,066
- 173
View attachment 49463
Africa, ooooh Africa...... Naipenda Africa! Am proud being an African..........
Africa, ooooh Africa...... Naipenda Africa! Am proud being an African..........
Hivi sio vyuma.........ni vitofa wenyewe wanaita!!Sijui kama hivi vyuma vimebalance. Lazima mtu avimbe upande
Hivi sio vyuma.........ni vitofa wenyewe wanaita!!
Yani umeiba cement kidogooo.....unachanganya na mchanga kiaina, unaweka nondo kwenye kopo la rangi la kilo tano, unafyatua kitu!!!
Kudadeki!
bebi nini tena,.....
kwani six pack si na wewe unazo.....
Jamaa wanaopiga nondo waache tu wanatafuta apetaiti, ila mama mwenye kichanga na SMG front! kanichefua mno!
Kushoto kilo 25 kulia kilo 30; ndo mana mabaunsa wengi wa uswahilini hutembea bega moja chini.
Hawa kazi yao kula tu! Ugali sinia zima kwa mtu mmoja!