Regnatus Cletus
JF-Expert Member
- May 26, 2018
- 1,114
- 958
Sheria ya elimu na corporal punishment regulations ZINATAKA MWANAFUNZI APEWE ADHABU YA VIBOKO VISIVYOZIDI VINNE.
VIBOKO HIVI VITATOLEWA NA MWALIMU MKUU WA SHULE TU, AU NA MWALIMU ATAKAYEPEWA MAMLAKA NA MWALIMU MKUU KUFANYA HIVYO NA SIO VINGINEVYO.
VIBOKO VITATOLEWA ENDAPO TU KUNA UTOVU MKUBWA SANA WA NIDHAMU, SIO MAKOSA MADOGO MADOGO.
VIBOKO VINNE VITAZINGATIA UMRI, AFYA, NA JINSIA YA MWANAFUNZI.
LAKINI PAMOJA NA UWEPO WA SHERIA HII, TUMESHUHUDIA WALIMU WAKIKIUKA UTARATIBU NA KUGEUKA GENGE LA WAHALIFU WANAOWAUWA NA KUWALEMAZA WANAFUNZI MASHULENI.
Ukifika mashuleni unakuta kila mwalimu amekamatia rungu kana kwamba yupo mafunzo ya mgambo.
Sent using Jamii Forums mobile app