Ni adhabu ipi iwe mbadala wa viboko kwa wanafunzi watukutu mashuleni?

Pamoja na hayo madhari ( vifo) vinavyotokea kutonana na viboka ila kiukwel Shule hasa za serikali yanii kata kata kuna nidhamu mbovu mno miongoni mwa wanafunzi na pindi hata stahiki zinapochukuliwa na utawala dhidi ya wanafunzi watukutu huwezi kuamini wanasiasa hasa madiwani has a WA ccm huwafuata walimu Kwa ukali na kulazimisha kutengua adhabu, Nina ushahidi WA hili!!!
Suluhisho!!! Ili mwalimu usiingie kwenye mgogoro na jamii na kwa kua gvt haina time na nyie!!! Mfano humpewi posho yoyote kama kada nyingine amueni kuweka fimbo chini kama mwanafunzi haingilii interest zako achana nae mradi unalipwa na tarehe ikifika benk kunasomeka unapata wapi muda wa kuhangaika na mtoto wa mtu!!!! Pambania wanao tena peleka private nzuri lipa jata Mil 3 achana hawa akina kanumba watakutia matatizoni
Hivo nondo za hivi mtu akizidurufu ili zisambazwe mashuleni haiwezekani??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Write your reply...

kuwe na utaratibu maalum wa kutoa adhabu sio kila mwalimu kujiamulia tu! aina ya adhabu lwa mfano

mwanafunzi akifanya kosa mara ya kwanza aonywe kwa mdomo then akirudia apewe adhabu hta kukata mti au kufanya usafi akiendelea na ukaidi arudishwe nyumbani, fimbo iwe option ya mwisho kbsa tena sizidi sita
Mh.
Tusisahau walimu ni watu wanyonge saaana.

Sasa siku wakiamua kufanya tunachokidai tujipange kisaikolojia.

Uvumilivu una mwisho, wanatukanwa na kuongelewa kwa kila baya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama Mwl japosijaajiriwa nichangie kidg pia hapa

Kwanza professionally, adhabu ya viboko ni adhabu ya mwisho kabsa ambayo Mwl anashauriwa kuitumia .lakn kutokana na kuingiliwa na wimbi la walimu ambao asilimia kubwa siyo wataaluma ya ualimu ndiyo kumeibuka haya mambo kwani wengi wameamua kusoma ualimu kwa sababu ya boom yaani mkopo na ajira hivyo kukosa wito wa ualimu

Binafs nashauri japo kiboko kwa jinsi ya mazingira na hali za watoto wetu iendelee kuwepo Kwani watoto hawa historia za malezi yao zinachangia koz wazazi wengi siku hizi ni wa dot com na kama mjuavyo watoto waliowengi hasa familia zisizojitambua wamekabidhi malezi ya watoto wao kwa wafanyakazi wa ndani matokeo yake watoto hawana ile nidhamu hvyo nidhamu hiyo hyo inaathiri mfumo mzima wa maisha yake na kuwa ngumu kwa Mwl kumuelewa ,,hapa kiboko kikitumika lazima kiwe na athari kwani mzazi nae atakuwa upande wa mtoto kwani hajamlea mwanae

Suala la maadili kwa sasa ni changamoto, s ajabu kuona wanafunz wakitumia simu, nguo fupi mashuleni, nk maendeleo ya sayansi na teknolojia yameathiri sna hvyo kiujumla mi nashauri haya

1 walimu kutumia adhabu mbadala kama taaluma yao inavyowapasa yani mtoto wamuadhibu kisaikolojia na adhabu nzuri ni ile inayomfanya mwanafunzi aifeel syo inayo m boost yani unatoa adhabu ambayo kwako itampain na syo kumfanya afurahie mfano... Ukitoa barua ya kumsuspend Mwafnz shule aliyemtoro haji shule sizani kama itamsaidia hivyo taaluma yetu tuitumie hapa adhabu nyngne yaweza kutolewa nje kabsa na viboko

2 walimu hasa walimu wakuu jaribuni wenzangu kutumia masanduku ya maoni ,anzisheni school Baraza huru ambapo itawasaidia kujua matatzo ya wanafnz wenu koz wanafnz unakuta wanashida ambazo sometimes hazitatuliwi unakuta wanakinyongo cha mda mrefu hvyo kujihisi wanaonewa hali inayopelekea walimu kuwachukia na kutoa adhabu kama viboko nk hii sana sana ipo A level schools ,unakuta shule hazina utaratibu huu unakuta shule haina uhusiano na wanafnz kabsa sas hapa napo kuna tatzo

3 Tutumie midomo yetu kuwafundsha watoto hawa kwani ndio wajibu wetu potelea mbali posho, mishahara nk kwani ndio kiapo chetu kitaaluma hvyo ushauri una matter wapendwa, yaani hapa ndio funga kazi watoto wetu walioweng wanakosa ushauri both nyumban na mtaani hvyo Mwl ukijitahd kuwaambia maisha nje ya shule utajenga urafk na hutooona adhabu hzi.. Mie naushahidi hapa koz kuna shule niliwahi fundsha watoto niliwashauri sana wakawa hadi wanalia mle darasani matokeo yake watoto wale walinipenda sana skutumia hata kiboko japo darasa ilisemekana n wakorofi
Mwsho wazaz timizeni wajibu wenu na walimu tumieni zaidi adhabu mbadala ama ikibidi viboko kuweni makini sana ktk kuadhibu na sehem za kuchapa iwe matakoni na mikononi jamn watoto hawa pia bila fimbo hawaelewi..... Barua za suspension kwetu walimu tuzitumie Sana koz watabadilika ikiwemo na wazaz koz watakuwa involved nk Nina meng but niishie hapa
Asbuh njema na jmapl njema

3

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nashangaa watu wanaongelea maadili, mara nidhamu, sijui malezi.

Ipo hivi, huwezi kukwepa maendeleo ya sayansi na teknolojia. Badala ya kuona watoto wamekosa maadili kuwa na simu shuleni. Tuifanye hiyo kuwa fursa. Tuwafundishe namna ya kutumia simu zao kuwaongezea maarifa.
Kwani naamini lengo kubwa la mtoto kuletwa shuleni ni kupata maarifa ambayo yatakua msaada wake huko mbele kulingana na mabadiliko ya sayansi na teknolojia.

Alafu suala la adhabu endepo mtoto ataenda kinyume na sheria za shule, ni kuwaita wazazi wake na kuongea nao. Ikishindikana baada ya wazazi kuitwa mara mbili, basi adhabu ya mwisho ni kumfukuza mtoto shule. Suala la nidhamu ni suala la wazazi. Maana mazingira tunayoishi, ndiyo yanayofanya nidhamu zetu.

Adhabu ya viboko ni utumwa. Tena utumwa ambao mimi naupinga kwa 100%
 
N

Una maoni mazuri katika hoja ya namna ya kuitumia teknolijia kama fursa. Lakini katika suala la kumfukuza mtoto shule huoni tutaondoa haki yake ya msingi ya kipata elimu?
 
Mkuu WA mkoa WA Tanga kasema mwalimu atakae mpiga Mtoto ( mwanafunzi) nae apigwe hivyohivyo
Mimi nahisi tusilaumu tu adhabu ambazo watoto wanazopewa bila kupendekeza adhabu mbadala na yenye manufaa.

Kwanza kumbuka mwalimu ni mlezi kama alivyo mzazi. Na hakuna mlezi ama mzazi yeyote atakayependa kuona mtoto akionyesha tabia isiyofaa na akamuacha pasipo kumkemea. Sisi kama wanajamii tusijikite kuwalaumu walimu bali tupendekeze njia bora ya kukabiliana na tabia zisizokubalika.

Huyo mkuu wa mkoa wa Tanga ambaye mimi sijamsikia kapendekeza njia mbadala? Au kajisemea tu kwa kuwa ana mamlaka na mdomo wa kusema.
 
Kama Mwl japosijaajiriwa nichangie kidg pia hapa

Kwanza professionally, adhabu ya viboko ni adhabu ya mwisho kabsa ambayo Mwl anashauriwa kuitumia .lakn kutokana na kuingiliwa na wimbi la walimu ambao asilimia kubwa siyo wataaluma ya ualimu ndiyo kumeibuka haya mambo kwani wengi wameamua kusoma ualimu kwa sababu ya boom yaani mkopo na ajira hivyo kukosa wito wa ualimu

Binafs nashauri japo kiboko kwa jinsi ya mazingira na hali za watoto wetu iendelee kuwepo Kwani watoto hawa historia za malezi yao zinachangia koz wazazi wengi siku hizi ni wa dot com na kama mjuavyo watoto waliowengi hasa familia zisizojitambua wamekabidhi malezi ya watoto wao kwa wafanyakazi wa ndani matokeo yake watoto hawana ile nidhamu hvyo nidhamu hiyo hyo inaathiri mfumo mzima wa maisha yake na kuwa ngumu kwa Mwl kumuelewa ,,hapa kiboko kikitumika lazima kiwe na athari kwani mzazi nae atakuwa upande wa mtoto kwani hajamlea mwanae

Suala la maadili kwa sasa ni changamoto, s ajabu kuona wanafunz wakitumia simu, nguo fupi mashuleni, nk maendeleo ya sayansi na teknolojia yameathiri sna hvyo kiujumla mi nashauri haya

1 walimu kutumia adhabu mbadala kama taaluma yao inavyowapasa yani mtoto wamuadhibu kisaikolojia na adhabu nzuri ni ile inayomfanya mwanafunzi aifeel syo inayo m boost yani unatoa adhabu ambayo kwako itampain na syo kumfanya afurahie mfano... Ukitoa barua ya kumsuspend Mwafnz shule aliyemtoro haji shule sizani kama itamsaidia hivyo taaluma yetu tuitumie hapa adhabu nyngne yaweza kutolewa nje kabsa na viboko

2 walimu hasa walimu wakuu jaribuni wenzangu kutumia masanduku ya maoni ,anzisheni school Baraza huru ambapo itawasaidia kujua matatzo ya wanafnz wenu koz wanafnz unakuta wanashida ambazo sometimes hazitatuliwi unakuta wanakinyongo cha mda mrefu hvyo kujihisi wanaonewa hali inayopelekea walimu kuwachukia na kutoa adhabu kama viboko nk hii sana sana ipo A level schools ,unakuta shule hazina utaratibu huu unakuta shule haina uhusiano na wanafnz kabsa sas hapa napo kuna tatzo

3 Tutumie midomo yetu kuwafundsha watoto hawa kwani ndio wajibu wetu potelea mbali posho, mishahara nk kwani ndio kiapo chetu kitaaluma hvyo ushauri una matter wapendwa, yaani hapa ndio funga kazi watoto wetu walioweng wanakosa ushauri both nyumban na mtaani hvyo Mwl ukijitahd kuwaambia maisha nje ya shule utajenga urafk na hutooona adhabu hzi.. Mie naushahidi hapa koz kuna shule niliwahi fundsha watoto niliwashauri sana wakawa hadi wanalia mle darasani matokeo yake watoto wale walinipenda sana skutumia hata kiboko japo darasa ilisemekana n wakorofi
Mwsho wazaz timizeni wajibu wenu na walimu tumieni zaidi adhabu mbadala ama ikibidi viboko kuweni makini sana ktk kuadhibu na sehem za kuchapa iwe matakoni na mikononi jamn watoto hawa pia bila fimbo hawaelewi..... Barua za suspension kwetu walimu tuzitumie Sana koz watabadilika ikiwemo na wazaz koz watakuwa involved nk Nina meng but niishie hapa
Asbuh njema na jmapl njema

3

Sent using Jamii Forums mobile app
Asante kwa maelezo mazuri yenye ushauri wa kujenga sana. Na Mungu akubariki.
 
Ndugu wanajukwaa, kama kichwa cha habari kinavyojieleza mimi kama mdau wa elimu ya Tanzania ningependa kupata ushauri kutoka kwenu kuhusiana na adhabu wanazopewa wanafunzi wanaokutikana na makosa mbalimbali mashuleni.

Hoja yangu imetokana na madhila ambayo yamewapata baadhi ya wanafunzi ambao kwa nyakati tofauti wameangukia kwenye vipigo vikali kutoka kwa wale waliopewa dhamana ya kuwasimamia na kuwafunza (walimu) jambo lililopelekea baadhi yao kupata maumivu makali na hata kuaga dunia.

Kwa sababu ya matokeo ya adhabu za walimu kwa wanafunzi wao, wadau mbalimbali wamekua wakishauri kuwa adhabu ya viboko mashuleni iondolewe. Jambo ambalo kwa mzazi yoyote aliyeona baadhi ya vipande vya video za walimu wakitoa adhabu kali kwa wanafunzi wao watakubaliana na hilo moja kwa moja.

Swali la kujiuliza hapa, je ni kwanini shuleni kuna adhabu? Jibu la moja kwa moja hapa ni kuwa adhabu hutolewa tu pale ambapo mwanafunzi ameenda kinyume na utaratibu ambapo kwa mujibu wa sheria inampasa aadhibiwe.

Kama ni hivyo basi mtoto huadhibiwa kwa sababu amekiuka utaratibu, na adhabu kuu na kongwe ni kuchapwa viboko au kupewa zoezi gumu, na jamii ya sasa haikubaliani na yote hayo. Ni nini basi kifanyike ili kuboresha nidhamu ya wanafunzia watukutu na wasiofuata utaratibu uliowekwa?

Kwa kuwa utukutu na kutokufuata utaratibu vimekuwepo enzi na enzi, na zama zote, hayo yalitafutiwa ufumbuzi wa namna mbalimbali. Ningeomba wanajukwaa kwa ujumla wetu tupate kulijadili hili na kupendekeza njia mpya za kukabiliana na watukutu pasipo kugusa miili yao kwa viboko, makofi, push up ama mateke.

Karibuni wana jukwaa tujadiliane.
Kila muhusika awe na akili timamu ya kuangalia ni adhabu ipi itampa funzo mtoto.
 
Kufinywa masikio, na mashavu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna cha adhabu mbadala wale fimbo hadi wawe na adabu kwanza mitoto inashinda PS unadhan bila kumburuza atakuelewa kwanza siku hizi maadili yamepungua mbona hamuoji madrasa mtoto wa miaka mitatu anakula fimbo hada anaelewa alpha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
walimu wanaosomea bado waandaliwe jinsi ya kudeal na watoto wenye challenging behaviour
 
Back
Top Bottom