Danielmwasi
JF-Expert Member
- May 3, 2021
- 1,212
- 2,310
Wait and see . Wait and see . Very different economic generationsUna uchawa wewe, Agha Khan imekuwepo kabla ya mfuko kuanzishwa na hata baada ya kuanzishwa wameingia mkataba mwaka 2022, miaka yote hiyo kwa nini haikufa?
I think watakaachini wa settle for the benefit of both parties but not enforce the changes on one sideYou think . The losses will come . Strategies reported loses last year they will follow suits and raise the money for insurance . Also cut the cost . For profit
Kwamba barua ya serikal nayo n uongo? Huon ina maelezo waliingia lini mkataba? Wazazi wako bora wangepiga nyeto tuSio kweli . Which agha khan is that .non sense .
Barua ilo sawa its called intimidation Mkuu..Nina wasi wasi na hii barua...Imeelekzwa TMJ...lakini Mkataba unavunjwa na Aga Khan
Peleka huko vizungu vyako feki, Agha Khan ni giant organization haitishwi na vihio wasio na ufahamu wa hospital management!Kwa what hospital agha khan , ukitoa ya Dar agha khan will fail else where
Wanategemea mkuu, angalia wateja wengi wanaotibiwa pale ni watu wa NHIF na matawi yao ambayo yapo kila sehemu hapa dar.Aghakani hawategemei Bima mzee
Serekali huwa haishindwi. Hao wahindi kamasi zitawatoka. Si ajabu wanamkimbilia Ummi saa hii! huku wakipiga magoti na kujamber jambe
Kwani miaka yote hiyo watanzania walikuwa wanaotibiwa wapi ?Una uchawa wewe, Agha Khan imekuwepo kabla ya mfuko kuanzishwa na hata baada ya kuanzishwa wameingia mkataba mwaka 2022, miaka yote hiyo kwa nini haikufa?
Mkataba huwa unakuwa reniewed kila baada ya miaka mitano Mkuu walichokitaja ni Mkataba wa hivi karibuni..Kwamba barua ya serikal nayo n uongo? Huon ina maelezo waliingia lini mkataba? Wazazi wako bora wangepiga nyeto tu
Watu wa Bima wanapatiwa Huduma cheap sana AghkaniWanategemea mkuu, angalia wateja wengi wanaotibiwa pale ni watu wa NHIF na matawi yao ambayo yapo kila sehemu hapa dar.
Maybe unazungumzia PolyclinicKwani miaka yote hiyo watanzania walikuwa wanaotibiwa wapi ?
Afghan Zamani walikuwa hawapokei NHIF Ni watu waliombaAghakani hawategemei Bima mzee
Yeah nakuelewaAfghan Zamani walikuwa hawapokei NHIF Ni watu waliomba
Kuna taasisi kibao zinalipa vizuri Na wengi wanatakiwa aghakan...Kuna insurance za VIP kibao Na Wana huduma nzuri ukiachana Na takataka NHIF
SOUTH AFRICA TU HAPO AGA KHAN AMNA .wewe ndo una overate vitu , health sectors kuna major players kibao .Peleka huko vizungu vyako feki, Agha Khan ni giant organization haitishi na vihio wasio na ufahamu wa hospital management!
....asante kwa kunielewesha....Barua ilo sawa its called intimidation Mkuu..
Yaani namwambia Athumani kwamba Juma nimekwisha mpiga kwa kosa mlilofanya jana wote wawili alafu namtaka athumani.aombe msamaha kabla sijampiga..
Sijui umenielewa..
Its called intimidation to create Division..
Its called Divide and rule
Acha ujinga , tatizo ni serikali kushindwa kulipa pesa kwa wakati na hao wapuuzi wenu NHIF na serikali ,wakati wapuuzi kama wewe mnatibiwaDAWA YA MOTO NI MOTO . AGHA KHAN ITAKUFA , wanachuo wote wanatibiwa in those hospitals . Let’s wait and see who wins.
They actually create a fear vacuum . If you act we act .
Hata kairuki ,Bugando ,KCMC nk , hospitali zote za binafsi ndio tegemeo nchi hii , na wako mbioni kusitishwa kabisa hii hudumaWatu wanaotumia NHIF ndio watakaoumia.....Hii bima ni takataka kitambo sana...
Isitoshe Agakhan walikuwa hawaitaki...Pole sana wanachama...
Aisee! Umebwatuka!Acha ujinga , tatizo ni serikali kushindwa kulipa pesa kwa wakati na hao wapuuzi wenu NHIF na serikali ,wakati wapuuzi kama wewe mnatibiwa
Hizo hospitali ni mali ya baba yenu ?
Mfuko umefirisika kwa kuendeshwa na majitu akili za mavi
NHIF wameshindwa hata kulipa wasambazaji wa vifaa tiba , ni upuuzi kufanya mambo kisiasa ,ccm ni mbwa kabisa
Halafu mpumbavu kama wewe unachekelea bila kujua consequences za hilo suala kwamba lina effects gani hata kwako
Unajua hii nchi watu wengi hawana tofauti na wendawazimu
Sent from my Nokia 6.2 using JamiiForums mobile app
Cause of insurance fraud nyingi . Also corruption and miss use of fund in the institution . They had to cut the cost .Acha ujinga , tatizo ni serikali kushindwa kulipa pesa kwa wakati na hao wapuuzi wenu NHIF na serikali ,wakati wapuuzi kama wewe mnatibiwa
Hizo hospitali ni mali ya baba yenu ?
Mfuko umefirisika kwa kuendeshwa na majitu akili za mavi
NHIF wameshindwa hata kulipa wasambazaji wa vifaa tiba , ni upuuzi kufanya mambo kisiasa ,ccm ni mbwa kabisa
Halafu mpumbavu kama wewe unachekelea bila kujua consequences za hilo suala kwamba lina effects gani hata kwako
Unajua hii nchi watu wengi hawana tofauti na wendawazimu
Sent from my Nokia 6.2 using JamiiForums mobile app