Eric Cartman
JF-Expert Member
- May 21, 2009
- 11,960
- 11,222
The legal term is "acceptance" either you act on it, gesturing or signatures.umechanganya kidhungu wew lakin sijaona hoja yako ya msingi , haki imetendeka , kuwepo signatories wa pande mbili haimpi mtu uhalali wa kutolipa kodi yake , labda utuwekee hapa hiyo docments
Hayo ya dalali sidhani kama yanauzito wa kisheria he is acting on behalf of NHC (unless kama kuna taratibu za usajili even with that sidhani kama anausika na madai ya msingi).You raise a really good point.
Ila hii kesi nayo unless there is something am missing, kuna kitu kama hakiko sawa. Si ni hii mahakama ilikataa kumtambua dalali aliyetoa vitu vya mbowe nje... Which in essence means taratibu hazikufuatwa kwasababu NHC walitumia dalali ambaye hajasajiliwa/hatambuliki na mahakama.
Nataka nimuone kibatala akiposti katika FB page yake ''hatimaye haki imepatikana dhidi ya hila,hongera jaji''
mmezoea kulambishwa... mlisema fisadi namba moja ni LOWASA leo mmelambishwa tena fisadi namba moja amekuwa ni mbowe sasa LOWASA unamuweka namba ngapi.. ?Na siku hawa ndugu zangu wanaojiita makamanda wakigundua kuwa Mbowe ni bonge la msanii watafanyaje?!!
Alisema anachukia ufisadi kumbe yeye ndo fisadi no 1
Alisema anachukia mafisadi kumbe ndo marafiki zake wakubwa!
Alihaidi kujiuzuru uenyekiti wa chadema endapo ccm ingeshinda, labda tumkumbushe asisahau!
Alituambia Dr slaa yupo likizo ya muda anatafakari, kumbe mzee wa watu alishajiuzuru!
Mbowe tamaaaaa
Tundu Lissu anashinda vijikesi uchwara,kesi kubwa zinazogusa maslahi ya watanzania kama hizi haingii maana anajua atashindwa na yeye hataki kupoteza credibility yake. Shame on matapeliYeah right. Kesi nyingi sana wapinzani wanashinda mahakamani. Tundu Lissu ameshaigaragaza serikali mara ngapi? Ikitokea wakashindwa hata kama siyo masuala ya kisiasa basi maneno kibao na kujiapiza kusiko na misingi. Tukumbuke tu kuwa nobody is above the law; na hata ukijifanya leo kuwa uko above the law kesho na kesho kutwa the law will find you. ...
Sawa Greater thinkerSasa ulipe bila kujiridhisha na hukumu? We ni ki.laza namba moja
Unasema kweli kabisaWakati wa usani usani umepita.
Wakishindwa mahakama ya rufaa wataenda kushitaki mahakama ya Afrika au ICC,keh keh keh..!!Kama kesi haijafikia uamuzi wa mahakama ya rufaa ni mapema mno kushangilia. Sheria ina namna yake ya kushangilia. Ni pale tu kesi inakuwa imefikia mahakama ya rufaa au pia kama imeshafanyiwa review. So, Mbowe bado kama hajaridhika ana nafasi ya kukata rufaa.
Wakishindwa mahakama ya rufaa wataenda kushitaki mahakama ya Afrika au ICC,keh keh keh..!!
wap MalisaMakamanda chaliii haki inapotendeka kwa upande usio wao huwa wanajificha....
Hapana Mkuu. Haki haijatendeka. Haki ingetendeka tu kama Mbowe angeshinda kesi
Je,wewe una maoni gani kuhusu yule ambae hata mshahara wake haukatwi kodi nae ameridhika tu?
Huwezi kuiacha mahakama idhalilike kwa mtu kutumika na watawala kupindisha sheria.
Marejeo ya Kesi au Rufaa yataumbua wengi
Hayo ya dalali sidhani kama yanauzito wa kisheria he is acting on behalf of NHC (unless kama kuna taratibu za usajili even with that sidhani kama anausika na madai ya msingi).
Hoja ni mkataba umefutwa kihalali au la kwa taratibu na makubaliano.
Sijasikia akikataa kulipa hoja yake ni kwamba madai ya NHC ni tofauti na terms za mkataba.Acha blah blah hapa sisi tunataka fedha zetu, na Mbowe lazima alipe fedha zetu!