Nguvu ya umma yamtisha Kikwete

Crashwise

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
22,227
8,735
Katika hali ambayo unaweza kuitafasili kuwa joto la kisiasa la mjini Arusha dr dr dr kikwete ameingia miti licha yamatangazo ya takiribani wiki 2. Na leo asubuhi tulishuhudia magari ya matangazo akizunguka mjini ya kitujuza kuwa kesho atakuwa mjini Arusha kwenye uwanja wa Sheukh Amri Abeid lakini mchana huu gari la matangazo linapita na kutujuza atakae kuwepo ni Dr Bilal si kikwete tena, hali hii imewaacha watu wa Arusha na maswali mengi...

Je Kikwete kasoma alama za nyakati kuwa kwa sasa Arusha si salama kwake? Maana vijana wameandaa mabango na bendera za CHADEMA tayari kwa kumkaribisha.......
 

Attachments

  • kikwete1.jpg
    37 KB · Views: 69
SASA NAULIZA HIVIIII..........Hii hali ya Arusha ikisambaa nchi nzima atakimbilia wapi?
 
Hakuna sababu yoyote ile iliyotolewa kuhusu kutokuja kwake? Ikiwa ni hivyo hali itakuwa ni mbaya sana.
 
kuna wakati mkweree anakuwa na maamuzi ya busara,aliona hapa sio pa kutia mguu,lakini anazipenda starehe za arusha sana tu,
 
Hata mimi nilijua hawezi kwenda AR, kwa sababu mambo bado mabichi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…