nguvu ya umma ya chadema ni kuleta machafuko

Mimi nimeinjoi sana CHADEMA na CUF wanavylote vuguvugu la kujadili mustakabali wa nchi yetu, ni jambo muhimu ili kuleta na kuamsha ~UZALENDO kwa sie watu wa kawaida.
Asanteni sana kwa kujitosa.
Mambo yatavurugika zaidi kabla hatujaweza kuchagua mbivu na mbichi
 
Mr. Tukutuku unasema kama fujo na iwe fujo. Hayo majibu hayasaidii. Jf ni sehemu muhimu ya kujua kile ambacho ulikuwa hujui. Sorry 2 say that mashabi wengi humu ni wa chadema ambao ndio wanaitwa nguvu ya umma .kwa mtazamo wa haraka ni vijana wasio na nguvu ya hoja bali matusi. Let share ideas but not matusi.
I want, i need, and must there be changes. Violance is the last solution. What is needed ni kupeleka bungeni then wananchi then katiba mpya. Hoja bado haijapelekwa bungeni then you jump to nguvu ya umma who told you that hoja itakataliwa. America has only made several amendment since then. Africa has been a style kutaka new katiba. New katiba means changes of several laws. Si jambo la siku moja na ushabiki. Even kenya the application of the new katiba itachukua muda mpaka sheria ndogo ndogo zitakapotungwa. Mnalijua hilo.
 
Mimi nadhani ccm wameingiwa na hofu na kiwewe kwamba chadema wanawaamsha watanzania. ukiangalia kuna mavuvuzela ya ccm yameibuka hapa janvini hivi karibuni kudai kuwakilisha propaganda zao kwamba chadema ni chama cha kuleta fujo.

inaonekana neno nguvu ya umma ndiyo tishio kubwa kwa ccm, kwa reaction yao hapa janvini inaonekana wameshahisi kwamba nguvu ya umma itatokea kweli na hii ni hofu kwa maslahi binafsi ya viongozi wa ccm. ndiyo maana pia polisi wamezuia mikutano ya chadema kabla hata hawajawa na ushahidi kwamba chadema wanachochea fujo.

basi watuambie fujo ni nini? kudai haki yako kwa kuongea ni fujo? kinyume chake pia, amani na utulivu ni nini? kukandamizwa haki zako na kuibiwa rasilimani na kodi za nchi ukakaa kimya ndiyo amani na utulivu?

chadema imeanza kuamsha uelewa wa watu wa mijini, imani yangu ni kwamba next move ni watu wa vijiniji. wakikamilisha hili tayari tuna nguvu ya umma. majimbo ambayo ccm ilipoteza mwaka huu ni ushahidi wa nguvu ya umma ambayo chadema wanatumia. hawakumwaga damu isipokuwa pale ccm walipotaka kupora matokeo halali.

tafadhali mfikishie JK huu ujumbe kwamba nguvu ya umma ni nguvu ya amani na uhuru wa kuchambua na kueleza fikra. nguvu ya umma siyo kuanzisha na kufadhili Green Guard. nasema mpelekee ujumbe kwa sababu hajui kutumia computer, ndiyo maana katika kuongea wala kufanya kwake kazi hajawahi kuonekana kujua chochote kilichojadiliwa hapa janvini. he is not in-touch with his society rather his click of power, which seem to always deceive him and misrepresent the current reality to him.

mara nyingi nikimsikiliza JK ni kama namsikiliza rais wa nchi nyingine, mgeni kabisa hapa.
 
Thread nyingine kichefuchefu tupu!! HUYU atakua makamba au nanihii yule mwenye watoto walioko kwenye chama kama vile ni chao peke yao
 
Mr.gurudumu. Tatizo lako mtu akiwa kinyume na baadha ya mambo ya chadema you think huyo ni ccm you lost. By the way hoja yetu ni mstakabali wa nchi yetu. Kwa nchi nyingi baada ya uchaguzi ni kuwasaidia wananchi katika kujiletea maendeleo. Wakati wa kampeni na uchaguzi umekwisha mikutano ya siasa ya nini sasa.
Kwa vijana kama wewe chadema wakisema tulipue ofisi za serikali unaweza kama walivyotaka kufanya siku ya kutangaza matokeo ya urais. Utasema hata hilo hukujua. So vijana wengi wanaotumika mijini si vijana makini kama chadema wanavyojiita chama makini. Force is equal to reaction.
 
Ninasubiri wazalendo wapeleka hoja ya Katiba mpya Bungeni ili nisikie wale wanaopinga watakuwa na hoja gani? Nguvu ya UMMA kuhusu katiba itatokana na hoja zitakazo jengwa kuhusu umuhimu wa katiba mpya au kuendelea na katiba ya sasa. Kumbukeni watanzania sio wajinga kama wengine wanavyodhania, tukiwaona wanaingia barabara tusikimbilie kusema ni vijana wa mjini badala yake tujiulize kwanini wakubali kuingia barabarani?.

Tujiulize; Kama wote tunakubaliana kuwa, kuna mapungufu katika KATIBA yetu je asiyependa katiba mpya analiepusha taifa na gharama za maandalizi ya hiyo katiba mpya au anasababu gani?
 
Wanasiasa wasituchanganye, wanapoelezea suala la CHADEMA wanasema WANANCHI/UMMA lakini je wangapi ni wanachama na supporter wa Chama hicho, wangapi walikipigia kura has a ukizingatia idadi ya wananchi waliopiga kura?, hao waliokipigia kura Chama hicho au CCM ni sehemu gain ya UMMA wa watanzania?. Je ni sahihi kwa chadema kudai wananguvu ya UMMA?. The TRUTH is statement za namna hiyo hutumiwa na wanasiasa ku-justify mambo binafsi wanayofanya. Wananchi tusidanganyike na political slogans za wanasiasa.
Truth
niko na wewe taabu hatasie tunaojiita great thinkers tumegeuzwa mashabiki na mavuvuzela ya wanasiasa
 
Mimi nadhani ccm wameingiwa na hofu na kiwewe kwamba chadema wanawaamsha watanzania. ukiangalia kuna mavuvuzela ya ccm yameibuka hapa janvini hivi karibuni kudai kuwakilisha propaganda zao kwamba chadema ni chama cha kuleta fujo.

inaonekana neno nguvu ya umma ndiyo tishio kubwa kwa ccm, kwa reaction yao hapa janvini inaonekana wameshahisi kwamba nguvu ya umma itatokea kweli na hii ni hofu kwa maslahi binafsi ya viongozi wa ccm. ndiyo maana pia polisi wamezuia mikutano ya chadema kabla hata hawajawa na ushahidi kwamba chadema wanachochea fujo.

basi watuambie fujo ni nini? kudai haki yako kwa kuongea ni fujo? kinyume chake pia, amani na utulivu ni nini? kukandamizwa haki zako na kuibiwa rasilimani na kodi za nchi ukakaa kimya ndiyo amani na utulivu?

chadema imeanza kuamsha uelewa wa watu wa mijini, imani yangu ni kwamba next move ni watu wa vijiniji. wakikamilisha hili tayari tuna nguvu ya umma. majimbo ambayo ccm ilipoteza mwaka huu ni ushahidi wa nguvu ya umma ambayo chadema wanatumia. hawakumwaga damu isipokuwa pale ccm walipotaka kupora matokeo halali.

tafadhali mfikishie JK huu ujumbe kwamba nguvu ya umma ni nguvu ya amani na uhuru wa kuchambua na kueleza fikra. nguvu ya umma siyo kuanzisha na kufadhili Green Guard. nasema mpelekee ujumbe kwa sababu hajui kutumia computer, ndiyo maana katika kuongea wala kufanya kwake kazi hajawahi kuonekana kujua chochote kilichojadiliwa hapa janvini. he is not in-touch with his society rather his click of power, which seem to always deceive him and misrepresent the current reality to him.

mara nyingi nikimsikiliza JK ni kama namsikiliza rais wa nchi nyingine, mgeni kabisa hapa.
Toa upuuzi wako hapa changia mambo ya msingi
 
Nimefuatilia maelezo ya chadema kuhusu madai mbalimbali na kupata wasiwasi kuwa chama hakina nguvu ya maamuzi bali kinategemea nguvu ya umma. Watanzani wengi si wanasiasa bali ni washabiki wa siasa. Kwa mtazamo wa haraka nguvu ya umma ya chadema kudai matokeo yatangazwe haraka uliona kilitokea. Chama kuwatumia wananchi kabla ya kuwaelimisha ni kuleta maafa makubwa nchini. Uingereza waliunda serikali ya umoja wa kitaifa kwa kutumia tu busara za viongozi wa vyama si wananchi. Vyama ni wawakilishi wa wananchi hivyo unaposhindwa kutetea hoja na kurudi kushawishi umma ni hatari kwa taifa hili. Nasikitika kusema kuwa nguvu kubwa ya chadema ni vijana wa mjini. Wote tunajua maamuzi ya vijana wengi pale unapowashawishi jambo la kufanya. Nguvu ya umma kwa chadema ni kuleta fujo tu. Katiba yenyewa iliopo umma hauijui vizuri. Tusijetukampa mbu kutibu malari

endela kutumika kama kondomu.... CHADEMA itawang'oa tu ata kwa propaganda kama hizi
 
Nimefuatilia maelezo ya chadema kuhusu madai mbalimbali na kupata wasiwasi kuwa chama hakina nguvu ya maamuzi bali kinategemea nguvu ya umma. Watanzani wengi si wanasiasa bali ni washabiki wa siasa. Kwa mtazamo wa haraka nguvu ya umma ya chadema kudai matokeo yatangazwe haraka uliona kilitokea. Chama kuwatumia wananchi kabla ya kuwaelimisha ni kuleta maafa makubwa nchini. Uingereza waliunda serikali ya umoja wa kitaifa kwa kutumia tu busara za viongozi wa vyama si wananchi. Vyama ni wawakilishi wa wananchi hivyo unaposhindwa kutetea hoja na kurudi kushawishi umma ni hatari kwa taifa hili. Nasikitika kusema kuwa nguvu kubwa ya chadema ni vijana wa mjini. Wote tunajua maamuzi ya vijana wengi pale unapowashawishi jambo la kufanya. Nguvu ya umma kwa chadema ni kuleta fujo tu. Katiba yenyewa iliopo umma hauijui vizuri. Tusijetukampa mbu kutibu malaria.

nguvu ya umma maana yake ni demokrasia. Aidha wananchi waamue wenyewe ama pawepo na wawakilishi. Sasa tatizo lako liko wapi?
 
huyu jamaa hajui vizuri kiswahili, ni mchina, anababaisha kiswahili ndiyo maana hakumuelewa Mr Mbowe
 
Nguvu ya umma ndio mtaji wa demokrasia. Lakini tunahitaji viongozi wenye uoni wa mbali. Wasioweweseka weweseka kama akina fm na ws. Umma umewageuka sasa.
 
Back
Top Bottom