Bira shaka mtakuwa hamjambo na kazi inaendelea vyema. Nimeamua kutumia ukurasa huu wa Jf kwakuwa ninaimani watu wengi walioko huku niwale wenye uwezo furani kifikra na kifedha.
Bila shaka unaweza kuwa na pesa lakini ukaitumia ovyo kwa Mambo yasiyofaa na hata kupoteza na kujitia baadae.
Leo nimeamua kuja kitofauti kidogo tuache tulivyozoeana.
Bila shaka unaweza kupata ml 3,4,5,hata 20 .
Lakini pia Kama huna uwezo huo Basi nitakuelekeza jinsi ya kupata ml 3 kwa mda wa miezi 4 tu. Siku nyingne..
Tuanze hapa , ewe mwajiriwa , mjasiriamali n.k naomba ufanye kazi moja kwakifupi Sana... najua unaweza kukopa au kwenye acc yako hiyo hela ipo.
Nenda wanakouzia pikipiki za kazi pikipiki ambazo mpya Kama sanlg n.k ambazo kila pikipiki moja uinunue kwa shilingi 1.4-5 milioni, tuseme kwamba utabahatika kununua pikipiki zako kwa milioni 1.4 , ukiwa na milioni 6 utanunua pikipiki 4 na kubakiwa laki 2, .
Andaa mkataba unaokulinda na kukuhami ikibidi uwe na mwanasheria kabisa kwenye huo mkataba.
Tangaza ofa kwa vijana kuwa unatoa pikipiki kwa mkataba.. kila pikipiki moja uwaambie unataka elfu 62000/= kila siku ya ijumaa kwa mda wa mwaka mzima pikipiki itakuwa yao.
62×4=248000
Hiyo hela wape kwenye acc yaani ikifika tu ijumaa wanadumbukiza .
Watafanya hivyo kwa wiki 6 utaingiza 1488000. Utanunua pikipiki nyingne ya tano.
Ukipata ya tano kila ijumaa utaingiza 310000/= .ukihesabu Tena wiki tano utaleta pikipiki ya 6 nakubakiwa chenji.
Kwa mda wa wiki 10 tu utakuwa umereta 2, pengine wengine watakataa kuendesha au watakuwa wasumbufu kureta hela nyang'anya Kisha mpe mwingi ikiwa bado mpya.
Basi tuseme kwa wiki 30 utakuwa na jumla ya pikipiki 10×62=620000/ per wiki. Hakikisha unafanya juu chini kuhakiki ndani ya mwaka unamiliki kumi ili zisiende.
Baada ya miezi 24 utamiliki TATA .. MUNGU NI MWEMA. Ukihitaji maelekezo zaid.utasema. au in-box ipo wazi.