Nguvu ya Tsh. milioni sita (6,000,000)

MusuKuma

Member
Jan 30, 2021
34
125
Bira shaka mtakuwa hamjambo na kazi inaendelea vyema. Nimeamua kutumia ukurasa huu wa Jf kwakuwa ninaimani watu wengi walioko huku niwale wenye uwezo furani kifikra na kifedha.

Bila shaka unaweza kuwa na pesa lakini ukaitumia ovyo kwa Mambo yasiyofaa na hata kupoteza na kujitia baadae.

Leo nimeamua kuja kitofauti kidogo tuache tulivyozoeana.

Bila shaka unaweza kupata ml 3,4,5,hata 20 .

Lakini pia Kama huna uwezo huo Basi nitakuelekeza jinsi ya kupata ml 3 kwa mda wa miezi 4 tu. Siku nyingne..

Tuanze hapa , ewe mwajiriwa , mjasiriamali n.k naomba ufanye kazi moja kwakifupi Sana... najua unaweza kukopa au kwenye acc yako hiyo hela ipo.

Nenda wanakouzia pikipiki za kazi pikipiki ambazo mpya Kama sanlg n.k ambazo kila pikipiki moja uinunue kwa shilingi 1.4-5 milioni, tuseme kwamba utabahatika kununua pikipiki zako kwa milioni 1.4 , ukiwa na milioni 6 utanunua pikipiki 4 na kubakiwa laki 2, .

Andaa mkataba unaokulinda na kukuhami ikibidi uwe na mwanasheria kabisa kwenye huo mkataba.

Tangaza ofa kwa vijana kuwa unatoa pikipiki kwa mkataba.. kila pikipiki moja uwaambie unataka elfu 62000/= kila siku ya ijumaa kwa mda wa mwaka mzima pikipiki itakuwa yao.

62×4=248000
Hiyo hela wape kwenye acc yaani ikifika tu ijumaa wanadumbukiza .

Watafanya hivyo kwa wiki 6 utaingiza 1488000. Utanunua pikipiki nyingne ya tano.

Ukipata ya tano kila ijumaa utaingiza 310000/= .ukihesabu Tena wiki tano utaleta pikipiki ya 6 nakubakiwa chenji.

Kwa mda wa wiki 10 tu utakuwa umereta 2, pengine wengine watakataa kuendesha au watakuwa wasumbufu kureta hela nyang'anya Kisha mpe mwingi ikiwa bado mpya.

Basi tuseme kwa wiki 30 utakuwa na jumla ya pikipiki 10×62=620000/ per wiki. Hakikisha unafanya juu chini kuhakiki ndani ya mwaka unamiliki kumi ili zisiende.

Baada ya miezi 24 utamiliki TATA .. MUNGU NI MWEMA. Ukihitaji maelekezo zaid.utasema. au in-box ipo wazi.
 
MusuKuma

Member
Jan 30, 2021
34
125
Unaleta biashara ya kitabu nunua uone moto wake katka bodaboda 10 jiandae 4-6 kuibiwa au kua mbovu
Unamkata wa mwanasheria. Mashariti ya kuchukua ni Mali isiyohamishika na wazamini 2 wenye Mali. Pikipiki zote injin no uijue na pikipiki kuharibika sio rahisi ikiwa mpya. Hata ikiharibka baada ya Kama imetembea miezi 5 ukauza milioni sio mbaya.

Huu mradi unalipa.
 
LuisMkinga

JF-Expert Member
Jan 10, 2012
2,006
2,000
Current price ya pikipik ni 2.3 hadi 2.8.

So kwa h3sabu zako zinafeli siku ya kwanza kwenda kuchukua chombo.

Current price ya dei ni 6500 mpaka 7000 kwa hesabu ya siku.

Changamoto vijana wengine wanapenda hesabu kuliko mkataba.

So pambanua biashara kwa mahesabu ya siku na sio mkataba.. ongezea na gharama ya service.

USHAURI WANGU

BIASHARA NZURI NI ILE UNAYOIPENDA ILI UKIFILISIKA UNAKUWA KAMA UMEACHWA NA KIPENDA ROHO, JUHUDI ZA KUKIFANYA KIWE HAI KIDUMU INAKUWA CHACHE

KULIKO BIASHARA YA KUHAMASISHANA HASARA NDOGO UNAANZA KUHISI NGUVU ZA GIZA
 
Mgeni wa Jiji

JF-Expert Member
Jul 27, 2017
5,002

Noma sana Mkuu
 
uzewela

Member
Jul 29, 2020
28
75
Bira shaka mtakuwa hamjambo na kazi inaendelea vyema. Nimeamua kutumia ukurasa huu wa Jf kwakuwa ninaimani watu wengi walioko huku niwale wenye uwezo furani kifikra na kifedha.

Bila shaka unaweza kuwa na pesa lakini ukaitumia ovyo kwa Mambo yasiyofaa na hata kupoteza na kujitia baadae.

Leo nimeamua kuja kitofauti kidogo tuache tulivyozoeana.

Bila shaka unaweza kupata ml 3,4,5,hata 20 .

Lakini pia Kama huna uwezo huo Basi nitakuelekeza jinsi ya kupata ml 3 kwa mda wa miezi 4 tu. Siku nyingne..

Tuanze hapa , ewe mwajiriwa , mjasiriamali n.k naomba ufanye kazi moja kwakifupi Sana... najua unaweza kukopa au kwenye acc yako hiyo hela ipo.

Nenda wanakouzia pikipiki za kazi pikipiki ambazo mpya Kama sanlg n.k ambazo kila pikipiki moja uinunue kwa shilingi 1.4-5 milioni, tuseme kwamba utabahatika kununua pikipiki zako kwa milioni 1.4 , ukiwa na milioni 6 utanunua pikipiki 4 na kubakiwa laki 2, .

Andaa mkataba unaokulinda na kukuhami ikibidi uwe na mwanasheria kabisa kwenye huo mkataba.

Tangaza ofa kwa vijana kuwa unatoa pikipiki kwa mkataba.. kila pikipiki moja uwaambie unataka elfu 62000/= kila siku ya ijumaa kwa mda wa mwaka mzima pikipiki itakuwa yao.

62×4=248000
Hiyo hela wape kwenye acc yaani ikifika tu ijumaa wanadumbukiza .

Watafanya hivyo kwa wiki 6 utaingiza 1488000. Utanunua pikipiki nyingne ya tano.

Ukipata ya tano kila ijumaa utaingiza 310000/= .ukihesabu Tena wiki tano utaleta pikipiki ya 6 nakubakiwa chenji.

Kwa mda wa wiki 10 tu utakuwa umereta 2, pengine wengine watakataa kuendesha au watakuwa wasumbufu kureta hela nyang'anya Kisha mpe mwingi ikiwa bado mpya.

Basi tuseme kwa wiki 30 utakuwa na jumla ya pikipiki 10×62=620000/ per wiki. Hakikisha unafanya juu chini kuhakiki ndani ya mwaka unamiliki kumi ili zisiende.

Baada ya miezi 24 utamiliki TATA .. MUNGU NI MWEMA. Ukihitaji maelekezo zaid.utasema. au in-box ipo wazi.
Tuelekeze ni wapi huko unaweza kupata pikipiki mpya kwa bei ya 1.4m?
 
MusuKuma

Member
Jan 30, 2021
34
125
Pikpiki gani 1.4 kaka??
Haojue show room apo Dar 2.4-5
cc 150 hyooo ....

boxer ambzo supplier wake ni Mo enterprises zinafika mpka 2.8-9 pamoja na bima kwa cc150
ila cc 125 ndo unapata 2.6-7

hizo za 1.4-5 ni zile cc 125 tairi za spoku
ambazo kiukweli vijana HAWAZIPENDI KABSAAAA

biashara ya pikipiki hunidanganyi

Tafuta wakudanganya ww......

by the way saa hv mkataba ni miezi 13/12
zaidi ya hapo vijana hawachukuii

ova
Mwezi wa sita mwaka huu zimechukuliwa pikipiki SANLG 1.5 MILIONI MWANZA.

KWA WIKI KIJANA ANALETA ELF 70.
SEHEMU NYINGNE ELFU 60.

HII SIO HADITHI SEMA HAPA NI PUBLIC SIWEZI LETA ZAIDI KAAA UNAVYOAMINI.

HII KAZI INALIPA.
 
uzewela

Member
Jul 29, 2020
28
75
Mwezi wa sita mwaka huu zimechukuliwa pikipiki SANLG 1.5 MILIONI MWANZA.

KWA WIKI KIJANA ANALETA ELF 70.
SEHEMU NYINGNE ELFU 60.

HII SIO HADITHI SEMA HAPA NI PUBLIC SIWEZI LETA ZAIDI KAAA UNAVYOAMINI.

HII KAZI INALIPA.
Usikimbilie kusema tu inalipa,jibu maswali yetu wadau na sisi tujue inalipa vipi
 
upeo

JF-Expert Member
Jun 10, 2013
316
250
nahisi ikiwa utawapata vijana vijana wanao jielewa

ni biashara yenye faida, unawekeza pikipiki km kumi hivi, muda w miezi 6 jela yako isharudi

tena hapo unaanz kula faida
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom