Kapyungu A
JF-Expert Member
- Jul 8, 2015
- 3,499
- 3,165
Before you go out with a widow,you must first ask her what killed the husband
-msemo wa ki Nigeria

Duh!mkuu mnafahamiana na huyu mleta post?Wewe Atoto toka lini ukawa na ushauri mwema kwa jamii?,wewe ni muharibifu na tena mgonga nyoka mzuri sana weye au unakataa?,na ukibisha mimi nitatoa ushahidi wa yote uliotendea wanaume plus picha kama ushahidi au unabisha?,acha zako bhana,wewe ni miongoni mwa wachuna ngozi na wanyonya damu bila huruma weye au unabisha?,usiache nikakuanika jukwaani na kufanya ukonde bureee,please kaa kimya kabisa,usinikumbushe machungu ulonifanyia weye ajuza,.,.,..,.nitaendelea wanajamii wakinitaka kufanya hivyo,na tena nitatoa ile siri siku ile liliposanuka na bwana wako mpaka ukachezea makofi kefule weye,au unabisha nitoe au nisitoe? eti Atoto kumbe jina lake ni kama jinamizi eboo?
Unasali kwenye yale makanisa ya manabii???Kwenye nini?
Atoto umenifurahisha sana leoHabari zenu wapendwa.
Leo kuna jambo limenigusa nikatamani sana kushare nanyi, haswa wanawake wenzangu(haswa wale midomo chuchunge)
Kuna baba ni jirani yangu amejiua baada ya kuhitilafiana na mkewe ( ilani tatizo la kipindi kirefu sana), kwakweli mwanamke ana kelele yule, akianza kumtusi mumewe majirani wooote mtasikia.
Sasa ikatokea mumewe akayumba kidogo kiuchumi, lakini mkewe hakutaka kuelewa na kumtuhumu kuwa ana michepuko(sina hakika kama kweli alikuwa nayo au la), hapo ndipo balaa lilipoanzia.
Mume akaamua kumshirikisha mkewe katika mapato yake, na wakafungua account ya pamoja, mke ndio mara nyingi alikwenda kudeposit pesa, ikatokea mume akapatwa na dharura ya kifamilia(kwao) akahitaji pesa, akamueleza mkewe kuwa anahitaji kiasi fulani cha pesa ili aende kwao, mke akaanza kelele.
Mume akaamua kwenda bank,cha ajabu akakuta account alotegemea ina zaidi ya milioni6 ina laki tu, akarudi kwa hasira na kumuuliza mkewe, akamjibu simple 'usinulize maswali ya kipuuzi',( haya ni maelezo ya rafiki wa mwanamke) ugomvi ulikuwa mkubwa hadi mume akaamua kuondoka nyumbani, na hakurudi mpaka kesho yake ilipofahamika kuwa mwili wake umekutwa nyumba ya wageni akiwa amejiua kwa kunywa sumu.
Jamani wanawake hii midomo yetu ina nini? Ni kwanini hatujifunzi kila siku!!!
Twapaswa kutambua kuwa tuna nguvu kubwa sana dhidi ya hawa wenzetu, mwanamke unauwezo wa kumfanya mwanaume masikini ajisikie na kujiona tajiri, lakini nguvu hiyo hiyo tukiitumia vibaya inaweza haribu kila kitu.
Tuwe basi watu wa kuwapa moyo na kuthamini wanachofanya hawa wenzetu, wanakazi kubwa sana na mzigo mkubwa sana walioubeba katika kuhakikisha tunapata mahitaji na mambo yote yanakuwa sawa. Tuwe faraja yao, tuishi katika misingi ya upendo,kujaliana na kuchukuliana kadiri ya mapungufu yetu.
Tujenge familia bora zenye misingi imara,maana watoto wetu sisi ndio role model wao wa kwanza(hii ni kwa wote wanaume na wanawake). Tusije shangaa watoto baadae wanakuwa watu wa ajabu ajabu kumbe wamerithi kutoka kwetu.
Muwe na usiku mwema.

Labda kuwasaidia wanaume mmeumbwa na silaha moja ya uwezo wa kudharau mambo ukijifanya kusikiliza kila kitu lazima ufe,kamuulize baba au babu yakoMnaweza mkawa mko sahihi ila biadamu wanatofautiana sana namna wanavyoyachukulia mambo, hili tukio limenifanya nikumbuke thread moja iliwekwa humu kuhusu mwanamke alomtukana mumewe mwisho akaenda kujiua.
Kuna series za matukio hadi hilo linatokea, romous has it that mwanamke kamchezea, ila likishatokea la kutokea kila mtu anaongea lake.
Ukweli anao marehemu.
Maybe alifikia a point of no return, ila solution yake ndio imekuwa ya ajabu.
Inawezekana kuna mambo mengine nyuma ya pazia. Na inawezekana huyo jamaa ana maamuzi ya haraka mno bila kufikiria madhara yake.hey paul
mtu unakunywaje sumu kwa mambo madogo hivo eti?
Habari zenu wapendwa.
Leo kuna jambo limenigusa nikatamani sana kushare nanyi, haswa wanawake wenzangu(haswa wale midomo chuchunge)
Kuna baba ni jirani yangu amejiua baada ya kuhitilafiana na mkewe ( ilani tatizo la kipindi kirefu sana), kwakweli mwanamke ana kelele yule, akianza kumtusi mumewe majirani wooote mtasikia.
Sasa ikatokea mumewe akayumba kidogo kiuchumi, lakini mkewe hakutaka kuelewa na kumtuhumu kuwa ana michepuko(sina hakika kama kweli alikuwa nayo au la), hapo ndipo balaa lilipoanzia.
Mume akaamua kumshirikisha mkewe katika mapato yake, na wakafungua account ya pamoja, mke ndio mara nyingi alikwenda kudeposit pesa, ikatokea mume akapatwa na dharura ya kifamilia(kwao) akahitaji pesa, akamueleza mkewe kuwa anahitaji kiasi fulani cha pesa ili aende kwao, mke akaanza kelele.
Mume akaamua kwenda bank,cha ajabu akakuta account alotegemea ina zaidi ya milioni6 ina laki tu, akarudi kwa hasira na kumuuliza mkewe, akamjibu simple 'usinulize maswali ya kipuuzi',( haya ni maelezo ya rafiki wa mwanamke) ugomvi ulikuwa mkubwa hadi mume akaamua kuondoka nyumbani, na hakurudi mpaka kesho yake ilipofahamika kuwa mwili wake umekutwa nyumba ya wageni akiwa amejiua kwa kunywa sumu.
Jamani wanawake hii midomo yetu ina nini? Ni kwanini hatujifunzi kila siku!!!
Twapaswa kutambua kuwa tuna nguvu kubwa sana dhidi ya hawa wenzetu, mwanamke unauwezo wa kumfanya mwanaume masikini ajisikie na kujiona tajiri, lakini nguvu hiyo hiyo tukiitumia vibaya inaweza haribu kila kitu.
Tuwe basi watu wa kuwapa moyo na kuthamini wanachofanya hawa wenzetu, wanakazi kubwa sana na mzigo mkubwa sana walioubeba katika kuhakikisha tunapata mahitaji na mambo yote yanakuwa sawa. Tuwe faraja yao, tuishi katika misingi ya upendo,kujaliana na kuchukuliana kadiri ya mapungufu yetu.
Tujenge familia bora zenye misingi imara,maana watoto wetu sisi ndio role model wao wa kwanza(hii ni kwa wote wanaume na wanawake). Tusije shangaa watoto baadae wanakuwa watu wa ajabu ajabu kumbe wamerithi kutoka kwetu.
Muwe na usiku mwema.
Muko wanawake wachache sana wenye maono kama yako naamini ujumbe umeafikia wahusika ahsante sanaHabari zenu wapendwa.