MO11
JF-Expert Member
- Mar 23, 2014
- 19,553
- 41,467
umekuwa utafiti baada ya watu kukucheka ??Hahahah ule ulikuwa ni utafiti tu
kuachwa kupo tu usijali
umekuwa utafiti baada ya watu kukucheka ??Hahahah ule ulikuwa ni utafiti tu
Na huo ndo uungwana, ila naona wengi katika familia hatuna utaratibu wa kuombana msamahaKUOMBA MSAMAHA SIO ISHARA YA UDHAIFU, NI ISHARA YA KUONESHA KUWA UMEKUBALI MAKOSA NA MNATAKA MYAJENGE UPYA
Na huo ndo uungwana, ila naona wengi katika familia hatuna utaratibu wa kuombana msamaha
TRU MKUUNa huo ndo uungwana, ila naona wengi katika familia hatuna utaratibu wa kuombana msamaha
Dah, umeongea kweli kabisa, ila nanyinyi wanawake huwa mkishasema NO, basi ujue ndo forevaWanaume wengi kuomba msamaha na hata kusamehe ni wagum saaana...
dah.....Well said mkuu, na ukijizoesha ivyo unakuwa huna visasikuomba msamaha ni busara
Umeya-vaba au?![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
dah.....
Sure,Its a reflection of wisdom
The word of wisdom.. Ulishawahi kugongana na mtu njiani alafu wewe ukajishusha?Muungwana akikosea, huomba msamaha
Not once, mara nyingi tuThe word of wisdom.. Ulishawahi kugongana na mtu njiani alafu wewe ukajishusha?
Wanaume wengi kuomba msamaha na hata kusamehe ni wagum saaana...
Mi mwenyewe sijawahi kumuomba msamaha rafiki yangu yeyote yuleKuomba msamaha ni jambo la heri kbs ila shida Moja kubwa,wanaume wengi hawapendi kufanya hivyo.
Bibie naomba uniazime hizu busara zako, manake upo vizuri sanaWhen you are at fault, you might fear that admitting an error is admitting weakness. On the contrary, apologies are a sign of STRENGTH.