Nguvu ya msamaha katika mahusiano/mapenzi

Nguvu ya msamaha katika mahusiano/mapenzi

watu siku izi wana Ego sana, unaeza omba msamaha af ukakataliwa, unabaki kufa kivyako.... wadada Mungu anawaona
Katika mapenzi tatizo ukimuomba msamaha anadhani labda unataka mrudiane.. Kumbe ni vitu viwili tofauti
 
Waungwana tu na wenye busara ndio huomba msamaha..

Na unapoomba msamaha haimaanishi wewe ni dhaifu hata kidogo, kwanza unapata amani ya moyo na kingine unakuwa umeimarisha mahusiano yako na uliyemkosea...

Hata kama mtu huna malengo haina maana ukimkosea ndo upotezee, hapana!!, ishi kwa amani na watu wote, hamna anaeijua kesho...

Kwangu mie msamaha huwa ni mwepesi sana kuomba!!!!
Ulishawahi kumuomba msamaha mtu uliyemzidi umri?
 
Naona umekaziwa mwanzo mwishooo!
Kuomba msamaha ni jambo jema
 
Kwa mstaarabu na muungwana yeyote yule anapojua amekosea basi hatasita kuomba samahani kwa kosa lake, lakini wale washenzi washenzi huwa hawajui/ hawataki kufanya hivyo.


Mfano mzuri ni kama viongozi wetu wakubwa, kuanzia kwenye familia mpaka kwenye nchi... Sijawahi kumuona mzazi akimuomba msamaha mtoto wake... Wewe unalizungumziaje?
 
  • Thanks
Reactions: BAK
[emoji1][emoji28]We fanya utani utani tu unaonwa hapo ,unataka uloyasema yote leo yawe in reality[emoji23][emoji23][emoji23]we jitoe akili
Hahaha.. Kumbe tunaonekana? Nifungulie mlango nije pm fastaaaa
 
Ivi ww hukomi eee[emoji28][emoji1]pm locked,shauri yako,ukijakulalamika hapa tena mie sikutetei[emoji23]ntakucheka[emoji48]
Najua wapo wakuniacha niangamie, lakini sio wewe... Ninauhakika utanitetea huku umenibeba juu juu....
 
hata siku moja simuombi msamaha mke wangu... nitajirekebisha mwenyewe kimya kimya... ila neno samahani asahau... akideka sana.. kwaooooooo!!!!!!!!
Hapo umemuongelea mke, vipi watu wengine? Nao huwezi kuwaomba msamaha, mfano boss wako, mdogo wako n.k
 
Hapo umemuongelea mke, vipi watu wengine? Nao huwezi kuwaomba msamaha, mfano boss wako, mdogo wako n.k
hata bosi simwombi... sasa kama nishajua nimekosea yanini kuombana msamaha mi nishajua nimekosea nyie kausheni muone nitarudia au vp..!!!
 
Msamaha unaohusu mapenzi[emoji35] [emoji35] [emoji35]
Labda sio kwa kiumbe huyu mwanamke naemjua.
Kwa mambo mengine nitaomba, lakini kwa huyu mwanamke hapana
 
Najua wapo wakuniacha niangamie, lakini sio wewe... Ninauhakika utanitetea huku umenibeba juu juu....
Ivi mfn limetokea tatizo kdg ,tatizo la kikawaida tu ktk kupishana kauli,mwanamke akakasirika na akataka muachane,how will u react na utaichukulia vp io situation
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom