Nimeamua iwepo tu kwa ku ignore hilo ila inaboa sana.Hiyo familia ina amani kweli ??
Huyo ana option mbadala so kulichukulia hilo kikakamavu ni kukubali awe mshindi tu maana huna jeuri ya kumuacha!Ivi mfn limetokea tatizo kdg ,tatizo la kikawaida tu ktk kupishana kauli,mwanamke akakasirika na akataka muachane,how will u react na utaichukulia vp io situation
Mwanaume awe mshindi yaan?yani akubal kushindwaHuyo ana option mbadala so kulichukulia hilo kikakamavu ni kukubali awe mshindi tu maana huna jeuri ya kumuacha!
Nakuhakikishia kabla hujamaliza kuhuzunika mkiachana atakuringishia selfie za kidume mwengine kwenye dp ya whatsapp au facebook!
Mwanamke kukuringia ni dalili kwamba huna ujanja kwake, ana fursa tayari so hata mkitemana leo kesho ana mtu mpya hivyo kilio kitakuwa ++ kwa upande wa kidume ataeachwa!Mwanaume awe mshindi yaan?yani akubal kushindwa
Hahaha nmependa maelezo yakoMwanamke kukuringia ni dalili kwamba huna ujanja kwake, ana fursa tayari so hata mkitemana leo kesho ana mtu mpya hivyo kilio kitakuwa ++ kwa upande wa kidume ataeachwa!
Hapo kidume hana ujanja itabidi awe mpole tu labda kama hajakupenda.


Mfano mzuri ni kama viongozi wetu wakubwa, kuanzia kwenye familia mpaka kwenye nchi... Sijawahi kumuona mzazi akimuomba msamaha mtoto wake... Wewe unalizungumziaje?
Mara nyingi anaefanya hivi huishia kuwa looser...Huyo ana option mbadala so kulichukulia hilo kikakamavu ni kukubali awe mshindi tu maana huna jeuri ya kumuacha!
Nakuhakikishia kabla hujamaliza kuhuzunika mkiachana atakuringishia selfie alizopiga na kidume mwengine kwenye dp ya whatsapp au facebook!
Msemakweli ni mpenzi wa mungu, mi yalishawahi nifika hayo so naelewa fika nachoongea.Hahaha nmependa maelezo yako![]()
Hahahah yupi sasa, anaekuacha na kuja kukupostia picha au anaeachwa mkuu?Mara nyingi anaefanya hivi huishia kuwa looser...
Nmependa maelezo yako kwasababu yanakaukweli alaf umeongea straight yako so openMsemakweli ni mpenzi wa mungu, mi yalishawahi nifika hayo so naelewa fika nachoongea.
Hahahah kwahiyo ukiyatimbuga watu wakukaushie?? Sasa watajuaje kama unajua umekosea?? Lazima uombe msamaha ili wajue kwamba umetambua makosa yakohata bosi simwombi... sasa kama nishajua nimekosea yanini kuombana msamaha mi nishajua nimekosea nyie kausheni muone nitarudia au vp..!!!
unajua mara nyingi mtu akikosea huwa anajua kakosea.. na aliyekosewa huwa anajua kakosewa sasa njia nzuri ni kusubiri mkosaji arudie tena ndo utajua ana makusudi ila kama hatafanya ujue kaomba msamaha kimya kimya.. sio mpaka tuambiane samahani..!!!!Hahahah kwahiyo ukiyatimbuga watu wakukaushie?? Sasa watajuaje kama unajua umekosea?? Lazima uombe msamaha ili wajue kwamba umetambua makosa yako