Uko kama mimi siyawezi hayo mavitujamani
Yeye pekee yake wengine hua tunapuyanga bila ht wanja yaani kwanza nikijiremba hua naloose confidence kabisaa may b niwe na mashosti kungine siwezi
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Samahani mkuu....
Hivi huyo king Zumaridi anatokea ama anatawala nchi gani..??
Alafu kama king anajipodoa, mbona napata mashaka na tabia zake..![]()






Aiseeeee!! Kwa make-up hizi tunapigwa sana.
Kijijini au wale wadada/wanawake wasiohangaika na make-up ndio wazuri hasaHmuda wote na wanapendeza. Hawa wa mawigi ya wahindi ni shida tupu.
Asubuhi ukionana naye bila make- up anatisha na unaweza piga chini mzigo.
Unakuta ana rangi 3 au 4 za soda mwilini, yaani pepsi, fanta orange, supaleta, mirinda,stoney tangawizi n.k. kwa sababu ya kuweka puti kwenye miili yao.
Hawajui kuwa hizo puti zina madhara mwilini au?
Dada/mama zetu tunaomba mjiamini. Mungu hakukosea katika uumbaji wake.







Kha!






amejichubua vibayaa had kababuka ngozi. Woiiiiiiihjamani
Yeye pekee yake wengine hua tunapuyanga bila ht wanja yaani kwanza nikijiremba hua naloose confidence kabisaa may b niwe na mashosti kungine siwezi


naona wengi wanajipodoa for photoshoot au zile shughuli za usiku, ila mchana na hekaheka za kusaka hela woiii lipstick na wanja zinawakilisha vyema halmashauri ya sura 



Sijazoea kujiremba yaani nilivyo ndivyo hvyo hvyoo!!!na ile kutazamwa na watu kwa mshangao kwangu inanikata maini sana!!yaani ukitaka nisijiamini nijirembe Sana'aKwa nini jamani una lose confidence ukipendeza ?




Kweli kabisaa!poda zenyewe za buku jero full kuchuruzika,Mimi pafyumu au spray mmemaliza!!baada ya hapo mwendo wa wanja nikikumbuka nkisahau basi imeisha hyooooTena na joto la darnaona wengi wanajipodoa for photoshoot au zile shughuli za usiku, ila mchana na hekaheka za kusaka hela woiii lipstick na wanja zinawakilisha vyema halmashauri ya sura
![]()
Itabidi uzoee kwan hutaki kuonekana mzuri bibie ?Sijazoea kujiremba yaani nilivyo ndivyo hvyo hvyoo!!!na ile kutazamwa na watu kwa mshangao kwangu inanikata maini sana!!yaani ukitaka nisijiamini nijirembe Sana'a
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app