korie
JF-Expert Member
- Sep 13, 2017
- 368
- 360
Mkuu Usiku wa kuamkia leo nimeota ndoto mbaya ya kutisha kuna lori kubwa lilitaka kuniangukia kwenye ndoto nikasema shundwa katika jina la yesu likaangukia upande wa pili kuangalia dereva ni mchana mdogo wa kama miaka 12 hivi.maombi yanasaidia sana mkuu







