Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,786
- 35,754
Usimjudge MTU kwa muonekano wa nje,,,,
Muonekano wako wa nje una reflect kilichomo ndani yako...
Marko 7:20
Usimjudge MTU kwa muonekano wa nje,,,,
Mkuu hebu tuweke sawa kwenye hili pia kwa nn wafu wakizikwa kichwaa huelekezwa kule jua linapozamaHata position yake chumbani ina maana kubwa
Hizo ni imani mila na desturi tuu, kuna mataifa huwakalisha ama kuwasimamisha.. Wengine huwapa wanyama wale na wengine huchoma motoMkuu hebu tuweke sawa kwenye hili pia kwa nn wafu wakizikwa kichwaa huelekezwa kule jua linapozama
Nimekuelewa mkuuHizo ni imani mila na desturi tuu, kuna mataifa huwakalisha ama kuwasimamisha.. Wengine huwapa wanyama wale na wengine huchoma moto
Nimekuelewa mkuuHizo ni imani mila na desturi tuu, kuna mataifa huwakalisha ama kuwasimamisha.. Wengine huwapa wanyama wale na wengine huchoma moto
Sizonje hana kauli ya mamlaka, yeye ni kukaripia tu nakuongea maneno ya kuudhi, kwani ukame nilileta Mimi?Katika hao wazee wote sizonje kakosa au una ugonvi naye?
Wastaafu wengine tunawashwawashwa.Buji mdogo mdogo hali sio shwari sana