Nguvu ya Bodaboda

Mkeshaji

JF-Expert Member
Jan 7, 2011
4,262
1,416
Hii sasa ni pickup!
254334_327699397328831_531441094_n.jpg
 
Mkuu Riwa ukiangalia hiyo barabara inaonekana ni "Highway", kwa hiyo huyo jamaa ametoka mbali na anapoelekea pia ni mbali.
 
Last edited by a moderator:
Ng'ombe wanaswagwa toka Bara mpaka Pugu machinjioni...umbali issue basi?
Serikali ilishakataza hilo kwa ajili ya uaribifu wa barabara na hata mazingira kwa ujumla, ajali za mara kwa mara mfaano 'morogoro road' walikuwa wakigongwa sana au kusababisha ajali tena wakati huo magari yakiwa machache sijui kwa sasa ingekuwaje maana maeneo mengi wakati huo yalikuwa ni mbuga lakini kwa sasa hakuna eneo ambali lipo karibu na machinjio halina makazi ya watu ambayo inapelekea kuleta mtafaruku na wakazi ikiwa watapitishwa kwenye makazi yao.
 
Ng'ombe wanaswagwa toka Bara mpaka Pugu machinjioni...umbali issue basi?



Nakubaliana nawe mkuu kuwa umbali sio issue lakini kwa mtazamo wangu hapo naona issue ni kuchelewesha kitoweo,unaweza kuta ubwabwa unatakiwa kuliwa saa nane mchana na hicho ndio kitoweo chenyewe na amekipata saa tatu asubuhi...
 
Kukodi pick up buku 35 ukikamata boda boda buku 3 tu unafika machinjioni
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom