Wakili wa shetani
JF-Expert Member
- Nov 22, 2022
- 2,167
- 4,082
Nilifika Mbeya niilishangaa sana wingi na vurugu za bajaji. Lakini kitu kimoja nilinotisi ni kutokuwepo bodaboda. Bodaboda ni za kuhesabu sana.
Unaweza kaa barabarani nusu saa usione bodaboda ikipita.
Kwa tunaokaa miji yenye bodaboda nyingi tunafahamu hatari na kero za bodaboda.
Pia nimeona kuwa ni nadra sana bajaji kupata ajali, na ni mara chache ajali zake kuwa mbaya za kuleta vifo au ulemavu kama zilivyo za bodaboda.
Nasikia wamepiga marufuku usajili wa bajaji, vipi bodaboda? Tusijeshangaa bodaboda zikajaa barabarani.
Wanasema barabara ya kuzimu imesakafiwa kwa nia njema. Out of the frying pan into the fire.