NGUVU NYINGI akili KIDOGO

NGUVU NYINGI akili KIDOGO

Bilionea Asigwa

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2011
Posts
16,578
Reaction score
28,701
Kipi bora?? Uwe na nguvu nyingi akili kidogo au akili nyingi nguvu kidogo??

attachment.php
 

Attachments

  • 402930_212279442249076_868084994_n.jpg
    402930_212279442249076_868084994_n.jpg
    34.2 KB · Views: 1,685
Bora uwe na akili nyingi kuliko kuwa na nguvu nyingi. Coz utatumia nguvu hata mahali huhitaji nguvu.
 
Kuna wanyama wameumbwa na kitu inaitwa "utii", farasi na punda ni aina ya jamii hiyo ndio maana wanafundishika.
 
Hii picha naifananisha na serekali dahifu ya ccm, hoja nyepesi zinazojibika kirahisi wanatumia manguvu kizizima, angalia sakata la maji ubungo wametumia maguvu kuzima ile hoja, na bado wanaendelea kutumia gharama kibao kufanya mikutano ya hadhara ili kuwatuliza wanachi. Mwili mkubwa ,maguvu kibao, akili ndogo, elimu kubwa lakini uwezo mdogo wa kufikiri
 
Afterlife nikizaliwa farasi sijui ntafanyaje?
Afterlife huwezi zaliwa tena,bali utafufuliwa na kupelekwa kwenye mahakama ya enzi.
Moja ya maswali utakayoulizwa ni kipi chema ilichokipost jf kiwe mwongozo kwa wanadamu lol!
Au nikupe zaburi nini?ili nikuweke sawa!
 
Kuna wanyama wameumbwa na kitu inaitwa "utii", farasi na punda ni aina ya jamii hiyo ndio maana wanafundishika.


watu8 hapa nitapingana na wewe kaka Lipunda halifundishiki ndio maana mpaka leo wanalichapa viboko na bado halielewini lihayawani hilo..
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom