NGUVU NYINGI akili KIDOGO

NGUVU NYINGI akili KIDOGO

utii wa sheria bila shuruuuuti, kama namuona kamanda Kova, anaupenda sana msemo huu. ila Utii ukizidi sana bila ya kuhoji unatii nn na kwa sababu gani ni utumwa, unatakiwa utii kitu ambacho ni wajibu kwako kufanya na sio kila kitu.
 
Kipi bora?? Uwe na nguvu nyingi akili kidogo au akili nyingi nguvu kidogo??

attachment.php
Anaogopa kuvunja amani. Tumezoelea mwenye kudai haki kubatizwa mvunjifu wa amani. Amani kwetu ni kuwa kama alivyo huyo farasi.
 
Back
Top Bottom