Umejikanyaga mwenyewe ulivosema hatoi jasho, ina maana anahifadhi sumu nyingi mwilini. Kiufupi nguruwe hafai kuliwa kwa sababu ni natural recycler , anakula chochote utakachomuekea. Anakula hata mtuKutokana na ufugaji na matunzo mabaya watu wengi hufikiri au wamekuwa na mtazamo kwamba nguruwe ni mnyama mchafu sana ila huo sio ukweli wa kisayansi.
Ukweli ni kwamba nguruwe ndiye mnyama msafi zaidi anapowekwa kwenye miondombinu sahihi ya ufugaji yenye nafasi kubwa na maji ya kutosha muda mwingi.
Nguruwe kugaragara kwenye matope muda mwingi ni kwa sababu ni mnyama asiyetoa jasho na hivyo mwili wake hauwezi kujipooza kama wanyama wengine hali inayofanya kuhitaji maji baridi ya kuupoza mwili wake muda mwingi.
Jasho sio njia ya kutoa sumu mawilini, Figo ndio inatoa sumu ya mwili.Umejikanyaga mwenyewe ulivosema hatoi jasho, ina maana anahifadhi sumu nyingi mwilini. Kiufupi nguruwe hafai kuliwa kwa sababu ni natural recycler , anakula chochote utakachomuekea. Anakula hata mtu
Kwahiyo mlipoambiwa kwenye dini yenu kwamba ukiwa jangwani au sehemu ambayo hakuna chakula zaidi ya kitimoto unaruhusuwa kula mna maana gani?Umejikanyaga mwenyewe ulivosema hatoi jasho, ina maana anahifadhi sumu nyingi mwilini. Kiufupi nguruwe hafai kuliwa kwa sababu ni natural recycler , anakula chochote utakachomuekea. Anakula hata mtu
Nguruwe aheshimiwe na watu woteKutokana na ufugaji na matunzo mabaya watu wengi hufikiri au wamekuwa na mtazamo kwamba nguruwe ni mnyama mchafu sana ila huo sio ukweli wa kisayansi.
Ukweli ni kwamba nguruwe ndiye mnyama msafi zaidi anapowekwa kwenye miondombinu sahihi ya ufugaji yenye nafasi kubwa na maji ya kutosha muda mwingi.
Nguruwe kugaragara kwenye matope muda mwingi ni kwa sababu ni mnyama asiyetoa jasho na hivyo mwili wake hauwezi kujipooza kama wanyama wengine hali inayofanya kuhitaji maji baridi ya kuupoza mwili wake muda mwingi.
Umebadiri mada!Umejikanyaga mwenyewe ulivosema hatoi jasho, ina maana anahifadhi sumu nyingi mwilini. Kiufupi nguruwe hafai kuliwa kwa sababu ni natural recycler , anakula chochote utakachomuekea. Anakula hata mtu
Ndio anamla anavunja hadi mifupa ndio wale mafia wakiua hawaweki kwenye pipa la acid kupoteza ushahidi mzoga au vipande vya mzoga wanampa nguruwe anakula vyote, ukila nguruwe ni sawa umekula mambaAnakula hata mtu
Mboga inayo onewa wivu mkubwa na wanaoishi jangwaniKutokana na ufugaji na matunzo mabaya watu wengi hufikiri au wamekuwa na mtazamo kwamba nguruwe ni mnyama mchafu sana ila huo sio ukweli wa kisayansi.
Ukweli ni kwamba nguruwe ndiye mnyama msafi zaidi anapowekwa kwenye miondombinu sahihi ya ufugaji yenye nafasi kubwa na maji ya kutosha muda mwingi.
Nguruwe kugaragara kwenye matope muda mwingi ni kwa sababu ni mnyama asiyetoa jasho na hivyo mwili wake hauwezi kujipooza kama wanyama wengine hali inayofanya kuhitaji maji baridi ya kuupoza mwili wake muda mwingi.
Kumbe mamba naye hachagui chakula.Ndio anamla anavunja hadi mifupa ndio wale mafia wakiua hawaweki kwenye pipa la acid kupoteza ushahidi mzoga au vipande vya mzoga wanampa nguruwe anakula vyote, ukila nguruwe ni sawa umekula mamba