Nguruwe mwitu wamesahaulika

Wacha weee Unautafuta sana wapi na kwenye Nini? MAneno ya Mungu na ya Malaika wafuata yepi? na huyo Paulo kazi yake ilikuwa ni kuandika walaka yaani Barua story zake msichanganye na Nabii Musa kwenye Torati hata Yesu alisema hakuja kuitengua kama vipi katafute kitabu cha Barnaba yule Mwizi alieachiwa huru ili yesu asulubiwe kitabu chake kiliondolewa kwenye orodha ya vitabu vya biblia
Haya, turudi kwenye topic, vipi, hawa wanapatikana huko ulipo???
au wazee wa Vitalu wameshawachakachua wameisha??
Pemba wapo hawa??
Nyara ya taifa hii!!!
 
2_61_052507_MonsterPig1.jpg


Hii italisha kijiji kizima.
 
Haya, turudi kwenye topic, vipi, hawa wanapatikana huko ulipo???
au wazee wa Vitalu wameshawachakachua wameisha??
Pemba wapo hawa??
Nyara ya taifa hii!!!


wild-pigs.jpg

Hawa wa vitalu sioni dalili ya kuwachangamkia hawa nguruwe, maana nguruwe anafugwa karibu kila bara duniani labda nchi za kiarabu tu kwa sababu ya imani zao. Hivyo wa vitalu hawana sababu ya kuwaiba kwa vile hawana soko.
 
26cb8b0fe2d4cc13f70e6a70670078fc.jpg
99803bb0e2d8cd13f70e6a706700371a.jpg


Kati ya wanyama waliosahaulika nchini mwetu ni hawa nguruwe mwitu. Sioni taarifa zo zote zinazohusiana na uwepo wao kwenye mbuga za wanyama na wala jitihada za kuwahifadhi. Ina maana hawa wanyama si rasilimali kama wanyama wengine?

ni rasilimali yetu lakini kutokana na hasara ya kula mazao wanayowatia wakulima masikini wa mihogo na viazi pindi waingiapo shambani wamewekwa ktk kundi la wanyama waharibifu sawa na panya na nzige. So kuwatangaza sio ishu manake wawekezaji ktk kilimo hicho watasita kuja kuwekeza.
 
hao jamaa watamu kuliko hawa tunaouziwa mjini tena hawana mafuta sana kama wa kufugwa

Basi tuanzishe vitalu vya uwindaji maana wengi wanasema utamu wa nyama yake haukamatiki, ndo maana wajanja waliwatishia wasiwadhuru kwa hoja ya kundi la mnyama haramu ili wachache wafaidi
 
mkuu, hawa machalii wapo kibao tu mtaani..........hapa kati Ruvu tu wapo kibao.
vijana wanawakamataga kwenye shamba langu wananiletea mboga!!!
ila ni nyara ya taifa mkuu, siku moja kijana alikamatwa na polisi wa pale kibaha!!
duh! zilinitoka na mboga wakaichukua!!! iliniuma!
Dah,pole sana mkuu! Ni kweli uwe makini hiyo ni nyara ya serikali.
 
26cb8b0fe2d4cc13f70e6a70670078fc.jpg
99803bb0e2d8cd13f70e6a706700371a.jpg


Kati ya wanyama waliosahaulika nchini mwetu ni hawa nguruwe mwitu. Sioni taarifa zo zote zinazohusiana na uwepo wao kwenye mbuga za wanyama na wala jitihada za kuwahifadhi. Ina maana hawa wanyama si rasilimali kama wanyama wengine?

Ni kweli mkuu. Unajua wanaongoza kwa utamu na kila mtu akiwaona anawamezea mate nando maana wako hatarini kutoweka. Ila ukiwahitaji maeneo ya Dar nenda kwa maeneo ambako kuna waislam wengi hasa Pemba Mnazi. Huko hawa ni sumu, huku kwetru ni dhahabu kaka/
 
Huyu si nguruwe ni mnyama pori aitwaye ngiri, kwa umbile anafanana kidogo na nguruwe ila wanatofautiana kwa kiasi kutokana na ngiri meno yake kuwa kama pembe na nguruwe meno yake hayarefuki sana kama ngiri.

Kama Ngiri siyo Nguruwe, je hao NGIRI ni halali kwa kitoweo kwa wavaa pedal!
 
Back
Top Bottom