DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 40,554
- 99,406
Wachina hawaishiwi mambo,
Kuanzia enzi za Kwenye kope feki, matiti feki, mimba feki, kucha feki, tako feki, hips feki, miguu feki, macho feki,nywele feki.
Sasa Ni awamu ya UKE FEKI.
Ikiwa Ni mwaka mmoja TU tangu wazindue teknolojia ya ngozi feki (body silicon skin).
Wakahamia Kwenye nguo zinazofanana na ngozi (body silicon cloth)
Sasa
Wachina Tayar washatengeneza nguo mpya za kike (body silicon cloth) zikiwa na sehemu ya uke pamoja na sehemu ya kukojolea.
Ambapo mvaaji hatohitajika kuivua atakapohitajika kufanya tendo la ndoa au kujisaidia haja kubwa wala haja ndogo
Nguo hizi Zinasehemu maalum ya kuingiza uume ambapo pametengenezewa mazingira sawa sawa na uke halisia.
Sehem hii ya Siri imetengenezwa kwa silicon maalum ambayo utoa Ute laini pindi kunapotokea msuguano.
Nguo hizi zinapatikana katika size tofauti tofauti,
Kuanzia chupi, tight fupi mpaka tight ndefu na zipo pia za mwili mzima.
Pia zinapatikana katika rangi tofauti tofauti kulingana na ngozi na matakwa ya mvaaji mwenyewe.
My take:
Kuna hatari kubwa ya Wanaume wengi kutapeliwa kwa kupewa tendo kwa kutumia uke feki bila wao kufahamu.