Nguo za mistari mistari(Zebra) za kina dada zinaboa!!!

Nguo za mistari mistari(Zebra) za kina dada zinaboa!!!

King Kong III

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2010
Posts
60,433
Reaction score
88,776
Umofia kwenu wana Chitchat!!

Kuna hii minguo ya kina dada ina mistari mistari kama ya pundamilia zipo rangi tofauti tofauti zipo kama dera yani kila kona lazima kati ya madada 10,7 wametinga hayo malonyalonya khaaaaaaa yanaboaaa kama yeboyebo vile.

Angalia Nguo ALiyovaa Lulu Michael
attachment.php
 
Umofia kwenu wana Chitchat!!

Kuna hii minguo ya kina dada ina mistari mistari kama ya pundamilia zipo rangi tofauti tofauti zipo kama dera yani kila kona lazima kati ya madada 10,7 wametinga hayo malonyalonya khaaaaaaa yanaboaaa kama yeboyebo vile.

Mi huwa sikumbuki kuangalia nguo, sana sana na concentrate kwenye body structure. sikumbuki kabisa nguo gani mwanamke anavaa dah!
 
Haaa zipo humu ni zile ambazo wakivaaa wanaziingiza ndani ya chupi halafu wanatembea hvyohvyo we chunguza tu ukiona dada kavaa gauni lina mistari mistari ndio hilo hilo,mara nyingi njano kwa nyeusi,nyeupe kwa nyeusi,kijani kwa nyeusi,blue kwa nyeusi.
 
Sasa KING KONG III ultaka

wavae zipi kama hzo

znakukera?!
 
Chamuhimu figure mambo ya nguo ina rangi gani ya aina gani sina muda.
 
Mh,kwahyo ata me nkivaa ntakukera jaman!!

Kama unayo ebu tupia picha yake wadau waoneee,zile lonyalonya unatakiwa uvae(without kufuli) ukiwa na mzee na sio kuvaa nje.
 
Haaa zipo humu ni zile ambazo wakivaaa wanaziingiza ndani ya chupi halafu wanatembea hvyohvyo we chunguza tu ukiona dada kavaa gauni lina mistari mistari ndio hilo hilo,mara nyingi njano kwa nyeusi,nyeupe kwa nyeusi,kijani kwa nyeusi,blue kwa nyeusi.

hata Lulu wa Kanumba kuna siku kwa pilato pale Kisutu nilimuona kavaa...
 
Mi nadhaji zinawapendeza zaidi wale wenye "vijungu vya uchokozi" kama beibe nasty na wengineo. Ni kweli zimekuwa nyingi sana mitaani
 
Last edited by a moderator:
We koma! Yani zinahamasisha mbaya,tena ukuye ndo kaichomeka kwenye chupi na kupandisha upande mmoja dizain flan inye inavibrate unaweza gongwa na gari au shingo kupinda
 
We koma! Yani zinahamasisha mbaya,tena ukute ndo kaichomeka kwenye chupi na kupandisha upande mmoja dizain flan inye inavibrate unaweza gongwa na gari au shingo kupinda
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom