Nguo ya Naibu Spika si njema hadharani

Nguo ya Naibu Spika si njema hadharani

Status
Not open for further replies.

dafity

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2008
Posts
1,878
Reaction score
2,085
Natazama Live hotuba ya Comrade JPM Mbeya. Lakini nguo aliyovaa naibu spika Dk. Tulia Ackson inamuweka wazi eneo lote la kifua. Hili eneo la kifua ni eneo tazamwa sana maana huvuta hisia za jinsia tofauti.

Natamani angeshauriwa kuvaa isiyoacha wazi kifua. Naona aibu mimi huku sebuleni kwangu
Screenshot_20190520-125706~2.png
 
Natazama Live hotuba ya Comrade JPM Mbeya. Lakini nguo aliyovaa naibu spika Dk. Tulia Ackson inamuweka wazi eneo lote la kifua. Hili eneo la kifua ni eneo tazamwa sana maana huvuta hisia za jinsia tofauti.

Natamani angeshauriwa kuvaa isiyoacha wazi kifua. Naona aibu mimi huku sebuleni kwangu
Usijali mkuu, kwani wewe kifua cha Bidada kinakusisimua!!!???
 
Thread Imetendewa Haki Ikiambatanishwa Na Picture, TUNAFUATILIA Maoni Yenu
 
Kama anamwinda jamaa yeye si type yake,labda angekua white fulani hivi na supusupu za kutosha.atatabika sana hataonekana.
 
Hakuna cha ajabu hapo. Kuna watu kila wakimwona mwanamke wanafikiria suala moja tu. Au unataka avae kama Suluhu?
 
shida yako ni nini? Usileta miongozo ya dini hapa kuhusu mavazi... utakuwa wa dini ile ya Sri lanka!
Nadhani hapo julihitajika mwongozo na kuhusu utaratibu wa uvaaji mh naibu spika mwongozo wako kuhusu hili
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom