Habari wana jamii forums
Kwa muda sasa nimekuwa nikitafuta mitindo hii ya nguo ambayo nimeona wanawake wa Ethiopia wamekuwa wakivaa sana,nao.ba kujulishwa maharishi yalipo haya machine ya nguo hizi
Zipo kibao, nenda posta Mpya opposite na Benjamin William mkapa pension tower, Kuna jamaa anaitwa Toma anapanga pale stend ya daladala post - makumbusho