Kwa mtu aliyezaliwa na kukulia city center, na kwa namna yoyote hajawahi kuingia porini kuwinda hiyo encounter ya mbwa vs chatu kwake itakuwa a game of chance.
Lakini kwangu mimi niliyekulia Bush star niliyeishi porini kama mpiganaji wa Mai mai, anachokisema Mshana Jr ni 100%. Nilishashuhudia mbwa kadhaa wakijipeleka kumezwa kwa unyenyekevu usiomithirika. Utadhani muumini wa Kanisa Katoliki anaenda kupokea sakramenti kwa Padri.
Mwaka 1996 ilikuwa last time kwangu kushuhudia encounter hizo. Na siku hiyo mimi na wenzangu tulimuua chatu aliyekuwa ameanza kummeza mbwa wa jirani zetu.
kwa vile ni domozege inabidi akubali kupigwa hivohivo si hajui kujitetea!!Madomo zege tutakushukuru bei isiwe juu Sana si unajua na awamu hii Kuna ukata🤪
Mimi pia hii nimekutana nayo sana...Hiyo ya kunukia wali porini nilishawahi kuishuhudia ndani ya msitu mzito
Hahaha hii nimeipenda, hao wanaojishugurisha na sayansi ya giza wangekuwa wabunifu kama huyu wa Njombe hakika tungekuwa na maendeleo makubwa sana.Kuna jamaa alikuwa anapasulisha mbao miaka ya 2004 kule mkoa wa njombe, ilikuwa ukienda kuiba mbao zake usiku unavurugwa, badala ya kupeleka ulikodhamiria kupeleka kama ni kwa mteja au kwako, unajikuta umepeleka nyumbani kwake.
Ukifika pale kwake unamkuta anakusubiria, anakuonesha sehemu ya kuweka na kukushukuru sana. Baada ya hapo ndio unapata akili na kuondoka kwa aibu.
Nahisi dawa ilitokana na huyu mdudu.
Kwahiyo analiwa kimasikhara.??Kwakweli bado natafiti hili... Mbwa hata awe hodari vipi akishaliona lile dubwana huchanganyikiwa kabisa na kukosa ujasiri huku akijipeleka kuliwa bila utashi wake
Kwakweli bado natafiti hili... Mbwa hata awe hodari vipi akishaliona lile dubwana huchanganyikiwa kabisa na kukosa ujasiri huku akijipeleka kuliwa bila utashi wake
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji1787] noma sanaMademu Wenye misambwanda ni chatu kwangu
NAOMBA NIWE KINYUME NA MSHANA JR,KWANI NGOZI YA CHATU HAIWEZI AU HAINA UWEZO WA KUSABABISHA MBWA ATULIE KAMWE.
Mara nyingi chatu anapohisi mnyama wa aina fulani yu karibu nae,huitoa harufu kulingana na hitaji la windo husika.
-ikiwa ni binadamu hapo patanukia chakula maridadi sana.
-ikiwa ni mbwa basi hapo hutoa super clasic meat smell ambayo huwa haivumiliki.
##############
Matters of its nature when he is alives...!
Mkuu mshana kama utajaaliwa kugundua sababu, basi haitakuwa vyema kuweka ugunduzi wako hadharani kwani watu tupo tofauti, kuna wengine wanaweza kutumia ugunduzi huo kutengeneza dawa za kuwanasa wake za watu.
Umeshuhudia nyoka akijivua magamba ama umesikia harufu ya wali...tuweke sawa hapoNi kweli kabisa mkuu. Nimeshudia kabisa. Sisi kwetu zamani kulikuwa na nyoka hatari. Siku tuko shule,kulikuwa na poli kubwa la shule,tumeshuhudia hayo makitu,nyoka akijivua gamba ndio unasikia harufu ya wali
Umeshuhudia nyoka akijivua magamba ama umesikia harufu ya wali...tuweke sawa hapo
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sana mkuu. Hivi ndivyo nyoka hujivua gamba. Anatafuta mti mkavu wenye kuweza kuishika ngozi yake. Ni wakati wa tendo hilo ndipo unasikia harufu ya wali
Nenda hapo chini mkuuUmeshuhudia nyoka akijivua magamba ama umesikia harufu ya wali...tuweke sawa hapo
Sent using Jamii Forums mobile app
-ikiwa ni binadamu hapo patanukia chakula maridadi sana.
Asante sana mkuu. Hivi ndivyo nyoka hujivua gamba. Anatafuta mti mkavu wenye kuweza kuishika ngozi yake. Ni wakati wa tendo hilo ndipo unasikia harufu ya wali
Sent using Jamii Forums mobile app
Patanukia chakula kipi kwa binadamu??