Akili Unazo!
JF-Expert Member
- Feb 18, 2009
- 3,930
- 4,934
Mkuu JF huwa hatujibu kwa jazba au Muhemuko kwa kuwa tupo kwa kuelimishana kushauriana au kupeana uzoefu.. Sasa Jazba mara nyingi kwa tukio kama lako ndilo lilopelekea maneno uliyoyasema yafike ulikotaka yafike. Kwa kifupi Umbea/Uongo kwa wengine wanavyosema ni Ukweli uliosemwa kwa mtu asiyehusika na hatimaye ujumbe wa yaliyosemwa kumfikia aliyelengwa. Sasa Wewe uliyekuwa unampa habari zako kwanza zilikuwa habari za Ukweli lakini kwa kuwa Ulikuwa ungea Umbea na Uongo kwa Asiyehusika hatimaye maneno yako yamemfikia Mlengwa ndiyo maana umesutwa....nipe dada yako atakupa majibu mazuri
Duniani kuna watu wawili wa kuwaogopa Milele... Mtu Muongo na Mtu Mlozi.. Sasa wewe Kwa uongo wako ndiyo maana unaanza kuhamisha hasira kwa wasio husika.
Jibu tena wewe ni Ke au Me