Ngozi nyeusi tuna matatizo sana

Ngozi nyeusi tuna matatizo sana

Kwanza kwanini umwambie MTU mambo yako? wewe ndio muhusika..wala hugombanishwi..uliyemwambia kaamua kusema Yale usiyotaka Fulani ayasikie!
( Hana kosa, kiherehere chako kinashughulikia..ameamua kusema ukweli wa uliyomwambia..si ulijipendekeza mwenyewe? kwani alikulazimisha?

I'm a Leo..born on August 15th ..we simply don't entertain stupidity ! mjifunze traits zetu ..sasa ugomvi wako katika hali ya kisiasa hapa nchini ni Kigwangallah Vs Nyalandu..wote ni Leo/Simba..kila mmoja fahari na mbishi..(eeh kumbe MMU) kwaheri...Mimi na mapenz wp na wp
i dont share my stuffs with everyone, nilimwamini sana na ni mtu wa karibu yangu sana.
 
POLE: Jifunze katakana na makosa, kuwa na kiasi katika kila jambo lako, kuongea, kula, kuvaa, furaha, hasira nk yote hayo yakiwa na kiasi basi utakuwa umeshinda mambo kama hayo.
Kama unasema wa Tanzania basi hujakutana na Wazimbabwe uwiiiii ni moto wa kuotea mbaliiii
kweli nimejifunza kitu, shukrani mkuu
 
Vitu kama hivi havitakiwi kua virefu sana, vifupishe.

Mtafute jamaa hata kwenye simu, mwambie tabia yake ni ya hovyo hujaikubali. Huyu aliyepelekewa umbea mtafute na anza kumpanga taratibu taratibu.
 
kiukweli hamna watu wambea na wanafiki duniani kama watanzania, always be careful to choose a person to share information with, aisee sijaamini nagombanishwa na mtu ambae sikutegemea kabisa katika maisha yangu.Huyu bwege nikikutana nae naomba nisiwe na shetani kwa hizi hasira nilizonazo.

USHAURI: Kuwa makini katika kuchagua watu wa kushea nao story zako
Hata wewe hufai kushare kwa kifupi huna siri.
 
kuna mijitu mijinga wewe ni mmoja wapo.kama sina siri niambie unachojua kuhusu hiyo story, mpuuzi wewe...!!!
 
Vitu kama hivi havitakiwi kua virefu sana, vifupishe.

Mtafute jamaa hata kwenye simu, mwambie tabia yake ni ya hovyo hujaikubali. Huyu aliyepelekewa umbea mtafute na anza kumpanga taratibu taratibu.
nishafanya hayo yote mkuu, shukrani
 
kiukweli hamna watu wambea na wanafiki duniani kama watanzania, always be careful to choose a person to share information with, aisee sijaamini nagombanishwa na mtu ambae sikutegemea kabisa katika maisha yangu.Huyu bwege nikikutana nae naomba nisiwe na shetani kwa hizi hasira nilizonazo.

USHAURI: Kuwa makini katika kuchagua watu wa kushea nao story zako
Siri unashindwa kutunza mwenyewe, unataka akutunzie nani? Kwani yeye amekuwa bank? Mambo mengine tubalaumu bule. Ukishindwa kutunza, ujue hapo hukuna siri tena.
 
ni kweli lakini ni mtu ambae tunafahamiana muda na tume share vitu vingi sana
 
Nimependa ulivyohitimisha.
"Umakini kuchagua rafiki wa kushea story, hasa zile za muhimu'.

Ova
 
kiukweli hamna watu wambea na wanafiki duniani kama watanzania, always be careful to choose a person to share information with, aisee sijaamini nagombanishwa na mtu ambae sikutegemea kabisa katika maisha yangu.Huyu bwege nikikutana nae naomba nisiwe na shetani kwa hizi hasira nilizonazo.

USHAURI: Kuwa makini katika kuchagua watu wa kushea nao story zako
Wewe ni Me au Ke
 
Siri unashindwa kutunza mwenyewe, unataka akutunzie nani? Kwani yeye amekuwa bank? Mambo mengine tubalaumu bule. Ukishindwa kutunza, ujue hapo hukuna siri tena.
Nimemwambia hivyo kashambulia...kweli tuko wengi...
 
Back
Top Bottom