Ni kweli kabisa mkuu. Maana hata hao ngozi nyeupe kuna walioshindikana kwa tabia za ajabu ajabu.Najikubali nilivyo sijutii kuwa mweusi ila hizo tabia ni zakuepukwa
kiukweli hamna watu wambea na wanafiki duniani kama watanzania, always be careful to choose a person to share information with, aisee sijaamini nagombanishwa na mtu ambae sikutegemea kabisa katika maisha yangu.Huyu bwege nikikutana nae naomba nisiwe na shetani kwa hizi hasira nilizonazo.
USHAURI: Kuwa makini katika kuchagua watu wa kushea nao story zako
Nimekumbuka Kauli ya rais wa kwanza wa msumbiji,ndiye kasema "simwamini yyote hadi kivuli changu" ikawa chanzo cha kifo chake!asante mkuu, siamini mtu yeyote kuanzia sasahivi
Zamora aliuwawa ..alitaka mfanyia figisu Robert Gabriel Mugabe Jongwe..aka team up na Malawi(samora) Ili wam sabotage Jongwe kiuchumi! jamaa akanasa info..kilicho mkuta unajua!Nimekumbuka Kauli ya rais wa kwanza wa msumbiji,ndiye kasema "simwamini yyote hadi kivuli changu" ikawa chanzo cha kifo chake!
Kusema ukweli,hii nimeichukulia kwangu nikajua kias gan unaumizwa na kitu hicho,japo haukusimlia,
Pole mkuu!
shukrani mkuuNimekumbuka Kauli ya rais wa kwanza wa msumbiji,ndiye kasema "simwamini yyote hadi kivuli changu" ikawa chanzo cha kifo chake!
Kusema ukweli,hii nimeichukulia kwangu nikajua kias gan unaumizwa na kitu hicho,japo haukusimlia,
Pole mkuu!