Ngozi nyeusi tuna matatizo sana

Jaby'z

JF-Expert Member
Jan 15, 2013
4,293
7,600
kiukweli hamna watu wambea na wanafiki duniani kama watanzania, always be careful to choose a person to share information with, aisee sijaamini nagombanishwa na mtu ambae sikutegemea kabisa katika maisha yangu.Huyu bwege nikikutana nae naomba nisiwe na shetani kwa hizi hasira nilizonazo.

USHAURI: Kuwa makini katika kuchagua watu wa kushea nao story zako
 
Bora ngozi yangu ni nyeupe kwahiyo sina matatizo!!!

Pole sana mkuu, ungeelezea kisa kizima ingependeza zaidi..
shukrani mkuu, akili ikinikaa sawa ntaelezea usijali kabisa
 
Si ngozi nyeusi wote wako hivyo na si Watanzania wote wanafiki.

kiukweli hamna watu wambea na wanafiki duniani kama watanzania, always be careful to choose a person to share information with, aisee sijaamini nagombanishwa na mtu ambae sikutegemea kabisa katika maisha yangu.Huyu bwege nikikutana nae naomba nisiwe na shetani kwa hizi hasira nilizonazo.

USHAURI: Kuwa makini katika kuchagua watu wa kushea nao story zako
 
Si ngozi nyeusi wote wako hivyo na si Watanzania wote wanafiki.
bora hata angekua wa kike, dume zima linakua nafiki inauma sana aisee, ningekutana nae leo nilikua nalala sentro
 
  • Thanks
Reactions: BAK
asante mkuu, siamini mtu yeyote kuanzia sasahivi
Nimekumbuka Kauli ya rais wa kwanza wa msumbiji,ndiye kasema "simwamini yyote hadi kivuli changu" ikawa chanzo cha kifo chake!

Kusema ukweli,hii nimeichukulia kwangu nikajua kias gan unaumizwa na kitu hicho,japo haukusimlia,

Pole mkuu!
 
Kwanza kwanini umwambie MTU mambo yako? wewe ndio muhusika..wala hugombanishwi..uliyemwambia kaamua kusema Yale usiyotaka Fulani ayasikie!
( Hana kosa, kiherehere chako kinashughulikia..ameamua kusema ukweli wa uliyomwambia..si ulijipendekeza mwenyewe? kwani alikulazimisha?

I'm a Leo..born on August 15th ..we simply don't entertain stupidity ! mjifunze traits zetu ..sasa ugomvi wako katika hali ya kisiasa hapa nchini ni Kigwangallah Vs Nyalandu..wote ni Leo/Simba..kila mmoja fahari na mbishi..(eeh kumbe MMU) kwaheri...Mimi na mapenz wp na wp
 
Nimekumbuka Kauli ya rais wa kwanza wa msumbiji,ndiye kasema "simwamini yyote hadi kivuli changu" ikawa chanzo cha kifo chake!

Kusema ukweli,hii nimeichukulia kwangu nikajua kias gan unaumizwa na kitu hicho,japo haukusimlia,

Pole mkuu!
Zamora aliuwawa ..alitaka mfanyia figisu Robert Gabriel Mugabe Jongwe..aka team up na Malawi(samora) Ili wam sabotage Jongwe kiuchumi! jamaa akanasa info..kilicho mkuta unajua!
 
POLE: Jifunze kutokana na makosa, kuwa na kiasi katika kila jambo lako, kuongea, kula, kuvaa, furaha, hasira nk yote hayo yakiwa na kiasi basi utakuwa umeshinda mambo kama hayo.
Kama unasema wa Tanzania basi hujakutana na Wazimbabwe uwiiiii ni moto wa kuotea mbaliiii
 
Nimekumbuka Kauli ya rais wa kwanza wa msumbiji,ndiye kasema "simwamini yyote hadi kivuli changu" ikawa chanzo cha kifo chake!

Kusema ukweli,hii nimeichukulia kwangu nikajua kias gan unaumizwa na kitu hicho,japo haukusimlia,

Pole mkuu!
shukrani mkuu
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom