Ngorongoro ilishachukuliwa kitambo...

Wewe mwanaharamu unanufaika vipi na kutetea hawa MAJAMBAZI WA CCM? Ng'ombe wewe.
 
Maskini STAN KATABALO !!
 
Majaliwa tangu atudanganye jiwe linatusalimu na ni lizima la afya kumbe limefia pale mzena BASI KUMUAMINI HAIWEZEKANI. Ccm imeuza nchi na kweli jiwe tunalikumbuka japo sasa ni fuvu pale chato. Ila jiwe liliua watu sana japo tunalikumbuka.
Katika viongozi wa ccm wasio na aibu ni huyo jamaa .
 
Kuna siku ambayo wananchi tutaamua kufanya yetu na hiyo ndio siku ambayo kila aliyewahi fanya maasi dhidi ya wananchi atakatwa kichwa la sivyo akimbie hii nchi. Mmetushika vichwa tumewaacha naona wanataka kutushika na nyeti.
Kwa wananchi hawa wenye uoga uliojaa ,ubinafsi na unafiki mkubwa? Aaa wapi si leo .

Mtanzania we mpe uhakika wa kula tu anasahau shida zoote na unamuuza mpaka yeye mwenyewe .
 
"TANZANIA INALINDA MAENEO YA KITALII YANAYOZIDI KUELEMEWA NA IDADI KUBWA YA WANANCHI NA KUKALIWA HIVYO KUTISHIA EXISTENCE YA HIFADHI ZETU"
Wakati mwingine kutumia nguvu kidogo ni muhimu serekali imewapenda mpaka inawajengea nyumba na handeni inamandhari nzuri sana hasa kwa mifugo yao serikali imeapenda sana lakini wamekuwa wakaidi huku chadomo wakijipatia #kiki katika suala hili.
#MASAI_MUST_MOVEOUT_PEACEFUL
#Mshana_jr Tujuze zaidi kwa mnunuaji umjuaye.....
 
Mshana_jr Tujuze zaidi kwa mnunuaji umjuaye.....ccm!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…