Mzee wa Upekuzi
Member
- Apr 18, 2011
- 20
- 8
Kwenye jokofu siumeambiwa zimeisha au krolokwin kashanunua??karibu Mzee wa upekuzi,subiri katavi akuletee juice
karibu Mzee wa upekuzi,subiri katavi akuletee juice
Karibu sana mzee wa upekuzi.............pata kahawa kidogo :A S-coffee:
Nashukuru Chatu Dume tupo pamoja mkuu.Karibu sana
Baba tupo pamoja usiogope mkuu, nashukuru.Birthday yangu na yako ni tarehe kama yaleo nami pia ni mgen,karibu kiongoz.
Nimeshakunywa gahawa ya Katavi KakaKiiza, nashukuru.Kwenye jokofu siumeambiwa zimeisha au krolokwin kashanunua??
Nashukuru mkuu tupo pamoja sana.Karibu sana
Katavi nashukuru kwa gahawa japokuwa dada yangu WiseLady alitaka unikaribishe kwa juice lakini hakuna shida.