min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 57,027
- 163,179
Mwaka huu mavuno yametema sio poa𤣠sisi mafuriko yakituharibia moroKweli Mkuu
Huu msimu wa Mavuno tupige lager tujipongeze tu
Mwaka huu mavuno yametema sio poa𤣠sisi mafuriko yakituharibia moroKweli Mkuu
Huu msimu wa Mavuno tupige lager tujipongeze tu
Ngoja ntakuelezea maana zaidUvulana ni nini?
Unasema una miaka 30 halafu Bado unajiona mvulana?
Mwaka huu tumepata na bei Iko njema kabisaMwaka huu mavuno yametema sio poa𤣠sisi mafuriko yakituharibia moro
Acha uvivu wa kulomba kijanaNgoja ntakuelezea maana zaid
Dadeq š Rudisha nanii zetu
Human job true truešš„š š daah ila sisi binadamu tunakazi kweli kweli
Ulipo wewe bei ya mahindi ipoje?Mwaka huu tumepata na bei Iko njema kabisa
Tumepata mahindi, maharage, kahawa.
Wenzetu waliolima Michele wanachekelea tu, Wakenya wanafika bei
Kwahy hakuna atakachokwepa šUzuri wazinzi, Wezi na Waongo wote moto wao ni ule ule š¤Ŗ
Kakuhudumiana wao kwa wao siyo!Wale jamaa wana kadunia kao..
Wanahudumiana wao kwa wao..Kakuhudumiana wao kwa wao siyo!
Mapadre bwana! Hivi KAZI ya masista ni nini hasa kule kanisani?Wanahudumiana wao kwa wao..