dronedrake
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 24,799
- 61,616
hahahah dahWewe ni Me au Ke ?
hahahah dahWewe ni Me au Ke ?
Huyu dogo ni bwabwaKwamba ukitongozwa na mwanaume unakubali? 🤔🤔
vijana kama nyie mnao fanya ngono mmepata faida ipiPumbavu kabisa jinga wewe
Yaani mwanaume unajisifia bikra.
Unataka nani akuondolee bikra lako la huko nyuma.
Mnaleta agenda za ushoga kijanja.
Pumbavu once again
Labda jamaa anachangamsha genge tu!Huyu dogo ni bwabwa
Mwanaume Gani anajisifia kuwa bikra.
Labda anaona bikra yake ya backwards amekaa nayo muda mrefu Sasa anataka wahuni waitoe
Bwashee unachuja nafaka nini 🍺😅Pumbavu kabisa jinga wewe
Yaani mwanaume unajisifia bikra.
Unataka nani akuondolee bikra lako la huko nyuma.
Mnaleta agenda za ushoga kijanja.
Pumbavu once again
Useja na ushoga vitu viwili tofauti mimi mseja wala sio shoga unavyowaza wwHuyu dogo ni bwabwa
Mwanaume Gani anajisifia kuwa bikra.
Labda anaona bikra yake ya backwards amekaa nayo muda mrefu Sasa anataka wahuni waitoe
Dogo ananikwazaBwashee unachuja nafaka nini 🍺😅
Wewe una bikra ya wapi?vijana kama nyie mnao fanya ngono mmepata faida ipi
Akikujibu nisanue.Wewe una bikra ya wapi?
Mimi sio dogo miaka 30 nitakuwaje dogo kama si uzinguzi ulionaoHuyu dogo ni bwabwa
Mwanaume Gani anajisifia kuwa bikra.
Labda anaona bikra yake ya backwards amekaa nayo muda mrefu Sasa anataka wahuni waitoe
Msamehe tu wajina , tule biaDogo ananikwaza
Mwanaume haipendezi kujisifu ati una bikra
Kuna siku nilienda mahala walipo mapadre, aisee wanaowahudumia ni masister..Bwashee ungesomea upadri ungekuta now unakula na kunywa vizuri
Nna uvulana wangu tangu kuzaliwa sijawai kuzini hadi sasa nasijakufaWewe una bikra ya wapi?
Acha upumbavu mwanaume hazaliwi na bikraMimi sio dogo miaka 30 nitakuwaje dogo kama si uzinguzi ulionao
Uvulana ni nini?Nna uvulana wangu tangu kuzaliwa sijawai kuzini hadi sasa nasijakufa
Hahahaha , wanakula vizuri na pombe zao ni za gharama , ndio maama wanatakata , upara lazima umeremete 😆Kuna siku nilienda mahala walipo mapadre, aisee wanaowahudumia ni masister..
Yaani beer ikiisha au wine sister anaitwa anaongeza pombe 🤣 .. nilishangaa..
Wale jamaa wana kadunia kao..
Yaani masister ndio waitresses wao..🙌
Kweli MkuuMsamehe tu wajina , tule bia
Kwwli ngono mbaya.Mimi sijawai kuzini na wala sina mchumba na wala sitawahi kuwa nayo.miaka 30 niliyonayo nasema kuwa bado mimi n bikra na nina taka kufa na ubikra wangu. Na sitaki niharibu utakatifu niliyonayo na tamaa ya ngono.narudia kusema ngono mbaya na n balaa katika maisha ya mwanadamu.