Nashindwa kuamini... hivi sexual favours maana yake nini? inaweza kua kwenda diner, a kiss au ndio sex yenyewe? walisema nature ya hizo favours ikoje? kama ni sex as sex basi ni hatari sana!If this is the finding..........
In Tanzania – 47% of women working class granted sexual favours to be offered a job (Mwananchi Newspaper - 17th March, 2011)
The question is kwani akisha anza kazi hawataendelea? Makazini balaaaaaaa!
Nashindwa kuamini... hivi sexual favours maana yake nini? inaweza kua kwenda diner, a kiss au ndio sex yenyewe? walisema nature ya hizo favours ikoje? kama ni sex as sex basi ni hatari sana!
Rushwa ya ngono is very explicit...Mwananchi ni gazeti la Kiswahili - inawezekana mm ndio translation yangu imekua mgogoro - ila walimaanisha rushwa ya ngono...... Someone may question on the authenticity of the sample size and so how representative is the sample size.... But simply, the findings provide an alarming eye opener....
If this is the finding..........
In Tanzania – 47% of women working class granted sexual favours to be offered a job (Mwananchi Newspaper - 17th March, 2011)
The question is kwani akisha anza kazi hawataendelea? Makazini balaaaaaaa!
😛oa:juggle::A S-coffee:😛hoto:Rushwa ya ngono is very explicit...
Mi naendelea kua na shaka na research hiyo. hivi kama Tanzania nzima ni 47%, hizo idara ni ngapi zikichukuliwa kwa upekee? Alafu angalia vile kuna waalimu wengi wa kike...
Kwa kweli kuna vitu vingine ni bora tuendelee kupinga tu sababu vikiwa kweli vitaumiza sana.
Survey nyingine bwana! Sample size ilikuwaje?
Hao 47% walitoa ngono kwa % ya wanaume?..na hao wanaume waliopewa ofa nao waliendeleza libeneke kwa % gani ya %gani ya jamii?...nadhani unaona maswali yanavyoweza kuzaliwa.......
Ndo hapo sasa, tatizo kwake litakuwa kama ni kweli alifanya ngono kwasababu ya kazi na hakufurahia tendo hilo...Where as kuna wenine hawaoni shida, hapo sijui ni mazoea utamaduni ama ni kitu gani.If this is the finding..........
In Tanzania 47% of women working class granted sexual favours to be offered a job (Mwananchi Newspaper - 17th March, 2011)