Mgambilwa ni mntu
JF-Expert Member
- May 30, 2017
- 2,869
- 3,188
Katika Hali ya kushangaza sana katika Siasa za Tanzania, ngome inayodaiwa kuwa kuu kwa CHADEMA, Jiji la Arusha, imevamiwa na CCM na kusababisha Chama hicho kushindwa katika Kata saba (07) kati ya Kata 20, hata kabla Uchaguzi wa Marudio haujafanyika Agosti 12, 2018.
Sasa, unajiuliza, hata kama Madiwani wao ndio waliojiuzulu nafasi zao na kuhamia CCM, inamaana CHADEMA haina Wagombea wengine wazuri wa kuweza kushindana na waliohamia CCM?
Sasa, unajiuliza, hata kama Madiwani wao ndio waliojiuzulu nafasi zao na kuhamia CCM, inamaana CHADEMA haina Wagombea wengine wazuri wa kuweza kushindana na waliohamia CCM?