Ngome ya CHADEMA yasambaratishwa: Yashindwa katika Kata 7 kati ya 20 jijini Arusha hata kabla ya Uchaguzi

Mgambilwa ni mntu

JF-Expert Member
May 30, 2017
2,869
3,188
Katika Hali ya kushangaza sana katika Siasa za Tanzania, ngome inayodaiwa kuwa kuu kwa CHADEMA, Jiji la Arusha, imevamiwa na CCM na kusababisha Chama hicho kushindwa katika Kata saba (07) kati ya Kata 20, hata kabla Uchaguzi wa Marudio haujafanyika Agosti 12, 2018.
Sasa, unajiuliza, hata kama Madiwani wao ndio waliojiuzulu nafasi zao na kuhamia CCM, inamaana CHADEMA haina Wagombea wengine wazuri wa kuweza kushindana na waliohamia CCM?

IMG_5086.JPG
 
View attachment 810495
Safi sana wallahi.
 
wakisema uchaguzi huru na wa haki huwa ubaelewa kidogo ? wakisema haki na usawaje? unayajua mambo walau matano ya msingi yanayopelekea uchaguzi kuwa huru na wa haki?unaweza kuyataja hapa?
 
Tusitafute mchawi, Chadema wamekuwa wakipiga kelele kwa muda mrefu kuwa ccm na serekali yake wanacheza rafu kwenye uchaguzi, alafu leo waje na mambo kama haya ya kizembe eti katibu wao analeta sababu kukosa mhuri, au wagombea qamekatwa kwa vijisababu vya kijinga, kama kujaza form vibaya, kuchelewa, kutokujua kusoma (mgombea hakufanyiwa interview na chama) .

Swali hapa jee chadema imebadilsha ile GIA ya ushindi , na kuweka GIA kujiangusha wenyewe.

Haiwezekani chama kikubwa kama chadema wagombea wake to be disqualified kwa sababu za kizembe kama hizi, ni matusi makubwa kwa chama kilichowajenga vijana kama akina LISSU,ZITTO, MNYIKA,MSIGWA NA MDEE,
This is the MOTHER OF ALL INSULTS
 
Tofauti ya CCM na vyama vingine vya siasa Duniani ni kuwa CCM ina mkakati mmoja tu

_Kushinda UPINZANI
_Maendeleo madogo ili kuwa beza Upinzani

Kuna tofauti kati ya 'CCM ya Nyerere' na 'CCM mpya'

CCM ya Nyerere ilileta maendeleo gani, ukilinganisha na sasa hivi?
 
Tusitafute mchawi, Chadema wamekuwa wakipiga kelele kwa muda mrefu kuwa ccm na serekali yake wanacheza rafu kwenye uchaguzi, alafu leo waje na mambo kama haya ya kizembe eti katibu wao analeta sababu kukosa mhuri, au wagombea qamekatwa kwa vijisababu vya kijinga, kama kujaza form vibaya, kuchelewa, kutokujua kusoma (mgombea hakufanyiwa interview na chama) .

Swali hapa jee chadema imebadilsha ile GIA ya ushindi , na kuweka GIA kujiangusha wenyewe.

Haiwezekani chama kikubwa kama chadema wagombea wake to be disqualified kwa sababu za kizembe kama hizi, ni matusi makubwa kwa chama kilichowajenga vijana kama akina LISSU,ZITTO, MNYIKA,MSIGWA NA MDEE,
This is the MOTHER OF ALL INSULTS
Hicho ndicho kinachonishangaza sana. Watu mtasema kuwa CCM inawafanyia fitina, je hata la makatibu wenu kushindwa kujaza vyema fomu ni kosa la CCM? Ama mnataka kutuambia tena kuwa wamehongwa? Kwa hiyo nyie kumbe mnahongeka? Sasa kama mnahongeka, nini tofauti yenu na CCM?
 
Very sad hivi kwa mtu anaejitambua au anauwezo kidogo tu wa kufikiri CCM ikishinda chaguzi yoyote unawezatoka kifua mbele kushabikia ushindi? Huruma kwa next generations maana tuliopo ni washabiki, wanafiki na wachumia matumbo na wengine shule wameenda wanaacha Elimu kwenye makalio big shame... long way to go Tanzania and Africa in general ‍♂️
 
Back
Top Bottom