Natafuta Ng'ombe wa maziwa

Jamani, naombeni msaada wenu.
Natafuta ng'ombe wa maziwa wa kisasa, kama wale wanaopatikana Iringa (ASAS Dairy products).Nitawapata wapi huko Mbeya, Iringa, Kilimanjaro, Arusha n.k.
Naomba contacts.
Nahitaji wanaotoa at least lita 20 kwa siku.
Nataka wenye mimba ya kuanzia miezi mitano hadi sita.

Nimetafuta sana bila mafanikio!

Wafugaji wengine wananiuzia ng'ombe waliochoka (ng'ombe anatoa lita 3-4 kwa siku?)
Na serikali nayo kimeo, nilishaweka oda ya ng'ombe (hybrid) huko Nanyumbu wanasema oda ya mtu inaeza kuchukua hata miaka miwili na pia unaweza kupata idadi chini ya ile uliyoomba. Nonsense!

Naomba msaada wenu.

Natanguliza shukrani.

Smart Guy Che II

Mm nimeona mafanikio makubwa Kenya, Kwenye ufugaji wa Ng'ombe
Wa maziwa.

Nilichoona Kule jamaa wananunua ndama. Kuna Mzee Mmoja alikua rubani ntaweka number yake nikiipata.

Alikuwa Ana ng'ombe 6 anamake $. 200 daily. Maziwa yake yalikuwa yanapiganiwa hatii Maji. {hachakachui}
huku bei juu na unakunywa Maji. Rangi nyeupe!

Pia search Video ya You tube (Kazi Ni Kazi) ya K24. kuna Mzee Ana mradi wa ng'ombe wengi na Ana mafanikio makubwa. Yeye na wenzake wanashauri aunze na 1-3. Sio Zaidi.
Ili uweze kupambana na changamoto
 
Hii Topic imenihamasisha sana tena sana,shukrani kwa wote walioshiriki kwa kutoa mawazo yao naamini siku moja nami nitayafanyia kazi.. kwani jambo lolote kitu cha kwanza ni nia...ukitia nia basi utafanya na utafanikiwa.
 
Hadi mwaka jana mwezi April lita moja ilikuwa si chini ya 1,000/= Tshs.
Kwa uzoefu wa nchi yangu ambayo pesa inashuka thamani kila kukicha, naamini bei HAITAKUWA chini ya 1,000/= Tshs kwa sasa.

Wenyeji watupatie majibu lkn naomba pia tusije tukabadili lengo la mada (Ng'ombe wa maziwa nitawapata wapi, contacts e.t.c)
Huku kwetu maeneo ya walala hoi UK tunanunua lt ya maziwa tsh1,200 na pia ni adimu sana,so ni mradi mzuri sana!
 
Soko la Maziwa kwa Dar liko vp?

Kuhusu soko hakuna shida,wacheki wale Tanga fresh then mnaingia kwenye biashara ya mkataba,wanachukua mpaka lt mil1 na bei yao mpaka last year was 800 per lt whole price na wanaijia wenyewe shambani.
 
Smart Guy Che II

Mm nimeona mafanikio makubwa Kenya, Kwenye ufugaji wa Ng'ombe
Wa maziwa.

Nilichoona Kule jamaa wananunua ndama. Kuna Mzee Mmoja alikua rubani ntaweka number yake nikiipata.

Alikuwa Ana ng'ombe 6 anamake $. 200 daily. Maziwa yake yalikuwa yanapiganiwa hatii Maji. {hachakachui}
huku bei juu na unakunywa Maji. Rangi nyeupe!

Pia search Video ya You tube (Kazi Ni Kazi) ya K24. kuna Mzee Ana mradi wa ng'ombe wengi na Ana mafanikio makubwa. Yeye na wenzake wanashauri aunze na 1-3. Sio Zaidi.
Ili uweze kupambana na changamoto

Niliweka oda ya ng'ombe wa maziwa huko Kitulo, karibia mwaka unakatika sasa.
Kila mara naambiwa ng'ombe hawatoshi, mara sijui tuliambiwa tupeleke ng'ombe idadi fulani Dodoma (ombi hilo lilitoka Wizarani).
Yaani production ni ndogo kuliko demand.
Ka nchi ketu haka aibu tupu!
Nchi za watu (kama South Africa) mtu anakuambia ana uwezo wa kukuuzia ng'ombe wenye mimba kuanzia 40 na kuendelea na hapo nd'o anaweza kukusafirishia pia - chini ya hapo hafanyi biashara hiyo (http://hooggekraal.co.za/)

Nimeshachoka kabisa - lkn siyo mwisho wa ndoto zangu, isipokuwa ndoto za waTz wengi zinacheleweshwa kuwa za kweli kutokana na mfumo mbaya wa ka-nchi ketu!
 
Niliweka oda ya ng'ombe wa maziwa huko Kitulo, karibia mwaka unakatika sasa.
Kila mara naambiwa ng'ombe hawatoshi, mara sijui tuliambiwa tupeleke ng'ombe idadi fulani Dodoma (ombi hilo lilitoka Wizarani).
Yaani production ni ndogo kuliko demand.
Ka nchi ketu haka aibu tupu!
Nchi za watu (kama South Africa) mtu anakuambia ana uwezo wa kukuuzia ng'ombe wenye mimba kuanzia 40 na kuendelea na hapo nd'o anaweza kukusafirishia pia - chini ya hapo hafanyi biashara hiyo (Hooggekraal Plase, Dairy Cows, Holstein Cows, Jersey Cows, Ayshire, Suiwel Diere, Melk Beeste, Vryburg)

Nimeshachoka kabisa - lkn siyo mwisho wa ndoto zangu, isipokuwa ndoto za waTz wengi zinacheleweshwa kuwa za kweli kutokana na mfumo mbaya wa ka-nchi ketu!

Mkuu taasisi zote za serikali sehemu kubwa ziko hoi kihuduma.
Zinafanya kazi kwa matakwa ya watu fulani lakini sio soko (kama ilivyo kwako). Soko la ng`ombe hawa ni kubwa sana mkuu. Juzi nimevuta uzi ili nipate ng`ombe wa kituo cha watoto Yatima,nikaambiwa may na june hawapokei maombi mpaka july. Niliishiwa nguvu. June/July hii napiga kwata mpaka kwa meneja,yaani itakuwa uso kwa uso ili anisaidie japo niwe kwenye foleni ya mwaka mzima.
 
Jaribu kwa hawa jamaa wa farm friends tanzania ltd wako mkoa wa tanga wanashirikiana sana na kampuni ya maziwa tanga iitwayo tanga fresh ltd pamoja na tanga dairies cooperative union (tdcu) namba yao ya simu 027 2646919 ukimpata mtu anaitwa rashid mohamed nadhani utapata ushauri mzuri
 
Jamani, naombeni msaada wenu.
Natafuta ng'ombe wa maziwa wa kisasa, kama wale wanaopatikana Iringa (ASAS Dairy products).Nitawapata wapi huko Mbeya, Iringa, Kilimanjaro, Arusha n.k.
Naomba contacts.
Nahitaji wanaotoa at least lita 20 kwa siku.
Nataka wenye mimba ya kuanzia miezi mitano hadi sita.

Nimetafuta sana bila mafanikio!

Wafugaji wengine wananiuzia ng'ombe waliochoka (ng'ombe anatoa lita 3-4 kwa siku?)
Na serikali nayo kimeo, nilishaweka oda ya ng'ombe (hybrid) huko Nanyumbu wanasema oda ya mtu inaeza kuchukua hata miaka miwili na pia unaweza kupata idadi chini ya ile uliyoomba. Nonsense!

Naomba msaada wenu.

Natanguliza shukrani.

Kaka umefikia wapi kwenye mradi wako? Umefanikiwa kupata mbegu? Unaweza kuleta feedback kama ipo hili na sisi tuone changamoto na jinsi ya kujipanga.
 
Jaribu kuwasiliana na watu wanafanya kazi katika vituo vya Mifugo LIT kama Tengeru, Mpwapwa na kadhalika , kwa Mpwapwa ninao uzoefu nimewahi kununua ng'ombe wakiwa na mimba na walipo zaa ndama wake ni wazuri tu na madhiwaaa kibao
 
Cha G,
Kuna CEO wa kampun moja hapo dsm ana shamba la kufa kiumbe pale siha-k'njaro na ni mfugaji mkubwa wa Ng'ombe. Ana ngombe zaidi ya 2000 pale siha katka mashamba tofaut mawili. Ng'ombe 1 anatoa lita 30 mpaka 52. Anasema ukitaka maziwa meng lisha ng'ombe wako pumba,wape maji ya kutosha, na pia ili maziwa yawe bora lishe lazima izingatie ratio. jamaa amefungua kiwanda cha kupack, fresh na yogurt juz tu! Nipm nikupe email yake akupe njia/ushaur.
Weka iyo email address yake mkuu tuipate wote
 
Ni Biashara Nzuri, Nimeanza Na Ng, Ombe 3, Bahati Nzuri Mmoja Alizaa Baada Ya Muda Mfupi, Amenitolea Lita 10 Kwa Siku Ambazo Nauza Lita 7 Na Zinazobaki Ni Matumizi Ya Home, Naweza Lipa Kijana 50, 000 Na Pesa Inabaki, Na Imagine Nikiwa Nao 5 Wallah Nitabadili Haya Maisha, Hulipi Kodi Wala Leseni
 
Sasa mkuu si utujulishe hao ng'ombe wanapatikana wapi? Tupatie contacts if possible.
Tunaweza kulegeza masharti ya kusema "hadi ng'ombe awe na mimba"!

Niko tayari kununua ndama hata kwa laki tano (lkn kwa kumtumia mtaalamu wangu wa mifugo).

Kuna hasara gani ukitumia 600,000 kwa mwezi kwa matumizi kwa ng'ombe anayetoa lita 60 au hata 40 za maziwa kwa siku?

Hao ng'ombe wa lita 60 wanapatikana wapi ( au ni wa kwenye mtandao - Netherland, Switzerland, n.k).
Tunataka wanaopatikana hapa Tz!

Thanks
 
Jamani, naombeni msaada wenu.
Natafuta ng'ombe wa maziwa wa kisasa, kama wale wanaopatikana Iringa (ASAS Dairy products).Nitawapata wapi huko Mbeya, Iringa, Kilimanjaro, Arusha n.k.
Naomba contacts.
Nahitaji wanaotoa at least lita 20 kwa siku.
Nataka wenye mimba ya kuanzia miezi mitano hadi sita.

Nimetafuta sana bila mafanikio!

Wafugaji wengine wananiuzia ng'ombe waliochoka (ng'ombe anatoa lita 3-4 kwa siku?)
Na serikali nayo kimeo, nilishaweka oda ya ng'ombe (hybrid) huko Nanyumbu wanasema oda ya mtu inaeza kuchukua hata miaka miwili na pia unaweza kupata idadi chini ya ile uliyoomba. Nonsense!

Naomba msaada wenu.

Natanguliza shukrani.
ghhgg
 
huu ni mradi mzuri sana...... ukiwa na eneo la kutosha ukawa na ng'ombe wako wa maziwa atleast kumi wanaokamuliwa .... uknawatunza kwa ubora na lishe ya kitaalam .... hesabu yake ni nzuri sana .... wapo ng'ombe wanatoa mpaka 30-40 liters per day .... pale kilacha, Himo Moshi kuna shamba la mifugo la mission unaweza ulizia pale

MKUU NAOMBA CONTACT ZA HILI SHAMBA LA WATU WAMISSION HAPA KILACHA TAFADHALI
 
Cha G,
Kuna CEO wa kampun moja hapo dsm ana shamba la kufa kiumbe pale siha-k'njaro na ni mfugaji mkubwa wa Ng'ombe. Ana ngombe zaidi ya 2000 pale siha katka mashamba tofaut mawili. Ng'ombe 1 anatoa lita 30 mpaka 52. Anasema ukitaka maziwa meng lisha ng'ombe wako pumba,wape maji ya kutosha, na pia ili maziwa yawe bora lishe lazima izingatie ratio. jamaa amefungua kiwanda cha kupack, fresh na yogurt juz tu! Nipm nikupe email yake akupe njia/ushaur.

MKUU KAMA BADO UNAPATIKANA NAOMBA CONTACT ZA HUYU MWENYE SHAMBA
 
Back
Top Bottom