Ngo'mbe aliyekatwa mkia

Ngo'mbe aliyekatwa mkia

Kwa kifupi ni kwamba JPM hana msamaha na wasaliti. Wakirudi basi ila watakuwa hawana mikia! Huwezi kujua kwamba akina Msindai wanarudi kuja kuvuruga hivyo bora watambuliwe kwa kukosa mikia. Mzee wa watu kaomba msamaha hadharani lakini kumbe hana mkia.
Sure, wanasiasa njaa wamezidi. Bora tu kawapa ukweli. Badala ya kutumikia wananchi wanaangalia maslahi yao.
Ukweli utawauna, Ila pia ukweli ndio huo aliowapa wa mikia
. Wakome kutangatanga
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom