Ngo'mbe aliyekatwa mkia

Ngo'mbe aliyekatwa mkia

NAFIKIRE

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2014
Posts
681
Reaction score
466
Wana jamvi leo nimemsikia mkulu akisema wanaotaka kurudi tena kwenye kundi wanakaribishwa.Ila alimalizia kwa msemo wa kabla lao kwamba:"Ng'ombe hazuiwi kurudi kundini, ila akisharudi ngo'mbe wengine watamtambua tu kwamba amekatwa mkia..

Nimejiuliza maswali mengi sana kuhusu huo msemo.Naomba na nyie bandugu mnisaidie mmemuelewa mkulu???

Karibuni.
 
Huelewi nini hapo? Ni kwamba ana kasoro.
 
Wana jamvi leo nimemsikia mkulu akisema wanaotaka kurudi tena kwenye kundi wanakaribishwa.Ila alimalizia kwa msemo wa kabla lao kwamba:"Ng'ombe hazuiwi kurudi kundini, ila akisharudi ngo'mbe wengine watamtambua tu kwamba amekatwa mkia..
Nimejiuliza maswali mengi sana kuhusu huo msemo.Naomba na nyie bandugu mnisaidie mmemuelewa mkulu???
Karibuni.
Watajulikana tu kwamba ni wasaliti na hawatakuwa sawa na wenzao! Mpendazoe na Msindai hawana mikia!!! Mwapachu pia hana mkia
 
U
Amewafananisha lumumba wote na mang'ombe yenye mikia na wanatumbulika kwa mikia yao, Nafikir hao mikia nusu ndo uvccm hahahaaa ndo nilivo elewa!!
Umetisha mkuu..huku kuelewa kwako unahitaji kwenda kipaji
 
Watajulikana tu kwamba ni wasaliti na hawatakuwa sawa na wenzao! Mpendazoe na Msindai hawana mikia!!! Mwapachu pia hana mkia
Mimi nadhani kwa sababu wamekiri makosa yao wangehesabika tu kama ngo'mbe wengine wenye mikia.
Kwa hali hiyo mbona waliokuwa wamepanga kurudi wataogopa kurudi sasa
 
Kwa kifupi ni kwamba JPM hana msamaha na wasaliti. Wakirudi basi ila watakuwa hawana mikia! Huwezi kujua kwamba akina Msindai wanarudi kuja kuvuruga hivyo bora watambuliwe kwa kukosa mikia. Mzee wa watu kaomba msamaha hadharani lakini kumbe hana mkia.
 
Amewafananisha lumumba wote na mang'ombe yenye mikia na wanatumbulika kwa mikia yao, Nafikir hao mikia nusu ndo uvccm hahahaaa ndo nilivo elewa!!
Mikia! Nilidhani Mikia ni Sisi Simba FC...kumbe hata Lumumba mikia ipo!
 
Kwa kifupi ni kwamba JPM hana msamaha na wasaliti. Wakirudi basi ila watakuwa hawana mikia! Huwezi kujua kwamba akina Msindai wanarudi kuja kuvuruga hivyo bora watambuliwe kwa kukosa mikia. Mzee wa watu kaomba msamaha hadharani lakini kumbe hana mkia.
Avumilie tu, na aendelee kula majani na kunywa maji ya kijani huenda baada ya muda mrefu mkia utaota.
 
Hata wakina Lowasa na Sumaye nao mikia hawana? Mkutano wa leo ulipendeza sana na kila mtu alikuwa na m..... wake?
 
Yaani kama wangesikia hotuba ya JPM kabla ya kurudi wasingerudi ni maneno makali sana ya JPM wamejidhalilisha sana leo maana yake hawana nafasi tena watabaki tu kuwa CCM lakini hawawezi kuwa kama wenzao maana mikia hawana yaani no power wabaki tu zizini ila watajulikana wasaliti tu.
 
Mzee Msindai amerudi ili wakati ukiwadia wa kurudi kwa muumba apate maziko ya heshima....!
 
Watajulikana tu kwamba ni wasaliti na hawatakuwa sawa na wenzao! Mpendazoe na Msindai hawana mikia!!! Mwapachu pia hana mkia
13620929_1154564034601668_252803958817871198_n.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom